mwamko
Member
- Jul 6, 2012
- 15
- 1
Habari zenu wakuu nina galaxy s3 original shida ni kwamba imeanza tabia ya ku-stac mpaka nitoe battery niweke upya ndipo inakaa sawa. Kinacho nikera zaidi ni kwamba wakati imestac ukinipigia kwako inaita ila kwangu kimya kabisa na muda wa warranty umeshapita nifanyeje ikae sawa maana kununua simu nyingine januari hii ya ada za watoto mhhhh. Naomba msaada tafadhali.