msaada kwenye breki.

Kama ni mke hajatenda haki hapo
kama hakuna ndoa msubiri yupo kwenye toba ya dhambi ya uzinifu
usisahau mwakani tena atafunga kwa ajili ya toba
 
halooooo.
Hope mko ok wote. Jamani mwenzangu amenipiga stop ya kunido eti anasema kwa 7bu ya kwaresma, kila ninapomuhitaji hataki kabisaaa, hvi inawezekana kweli hyo ikawa 7bu au analake jambo

Asanteni kwa ushauri

...Oooh, basi mwenzenu nilisikia kwaresma ni Repentance, wakati huo huo "kujizuia kwa vile uvipendavyo," ama?
 
vumilia tu bado siku kidogo, tena shukuru kwa kupata dume anayeweza kufunga. Ila kuna ndoa kati yenu????
 
hatujafunga ndoa, ila tunaishi pa1 na tuna mtoto m1

hebu watu wasikutishe bana....kila mtu anauliza kama mmeoana......ndoa kitu gani bana wakati wa kiu.....we tii kiu yako....kiu haiigwi.....kama umekosa coca si unakunywa hata fanta kwa leo tuu....aaaghhhh
 
Ni vema na haki kustop kama hamjaoana. ilamkama mko katika ndoa basi anakuvutia kasi wewe kua mpole tu. Jitahidi usiwe na kiu mana unaweza kunywa acid badala ya maji!!
 
hebu watu wasikutishe bana....kila mtu anauliza kama mmeoana......ndoa kitu gani bana wakati wa kiu.....we tii kiu yako....kiu haiigwi.....kama umekosa coca si unakunywa hata fanta kwa leo tuu....aaaghhhh
Do the Dew! Hujambo mamito?
 
ofcourse nilikuwa na kiu, nilivumilia kubana miguu, hatimaye simtamani tena hafu nimemchukia sana

wewe heshimu mwenzio anayokuambia!! inawezekana ni moja ya taratibu zake za kumwabudu Mungu, kumbuka anafunga na kuomba kwa wakati huu, kwani kuvumilia kwa siku 40 unaona shida gani??

ww ulikuwa humpendi mwenzio, nyie ndio wote mtu akiumia ama akipata ajali akishidwa ku du, mnamkimbia siku hiyo hiyo

hayo si maisha kabisa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom