Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

Msuchana ndo nini?
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

Kuna mtu anakutangazia mtaani una ngoma na jitaa kila ki2 ndo maana
 
ritakuwa ri kurya hiri,rire mama chacha rara nikurenge...:tinfoil3:
 
Jamani kuna mtu sijamuona kwenye uzi huu kulikoni haiwezekani bana uko wapi?
 
Unatumia approach gani? Factorization, splitting the middle term, difference of two squares au general formula?
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

S0JA! Yaweza kuwa una-appr0chi kwa KUAMRISHA kama Gwaride...Kwa style ya Kwata heri uemde kwenye madangur0
 
Eti soldier!! acha kuleta uongo wako, unataka watu humu jukwaani wakujue wewe ni nani? kwani ungesema tatizo lako tu bila kusema "am soldier" huwezi kupewa ushauri?? ok! upo kikosi gani mkuu?
 
kweri..nimeridhika na mawazo yenu..wote walioponda na wote waliojaribu kunisaidia..sura..umbo na pesa kumbe sio kitu..ngoja nimrudie Mungu..naaamin huko nitakua na faraja ya moyo..
 
Wewe kwa nini unatuapptochi......?......wasichana hatupendi kuapptochiwa tunahisi kama utatutoboa........
Halafu soja.......wewe hao wasichana wako unawatafutia wapi........?......

hahahahahhahahahahha nafwaaaaa
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

calm downnnn... Relax! Tatizo unamix R n L... Ndomana...
Hata ukimwambia ai ravu yu hakuelewi.. Teh..(jus kdn)
Mwombe Mungu,pia jichanganye kuwa friendly, nice... Kama una wadogo au dada wa kike wakija na friends... Usiombe po.. Tafuta mmoja..gudluck
 
Hahahah umenifurahisha sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Amakweli nyie ke hamtabiriki, kila sikj mnadai kwenu pesa ndo kila kitu, sasa kwanini msichangamkie tenda? Au mnapenda kigegedwa tu na siyo kuolewa. Kaka tafuta mchumba hapahapa jukwaani, kwa sifa hizo naamini utawapata wengi.
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

Mi nilidhani figure bomba inakuwaga kwa watoto wa kike tu. Kumbe hata wewe wa kiumeni?
Imekaa ki ulimbwende sana hii.
Kila la kheri katika kutafuta bwana 'figure bomba'
 
Wewe kwa nini unatuapptochi......?......wasichana hatupendi kuapptochiwa tunahisi kama utatutoboa........
Halafu soja.......wewe hao wasichana wako unawatafutia wapi........?......

Itabidi na mimi nikuapptochi aisee
....Maana........
 
Back
Top Bottom