Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

Una kasoro jichunguze we soja halaf umetoa sifa ambazo hukutakiwa ku2eleza mfano we mnene ili 2kufanyeje?
 
H:smile-big::smile-big:
Wewe kwa nini unatuapptochi......?......wasichana hatupendi kuapptochiwa tunahisi kama utatutoboa........
Halafu soja.......wewe hao wasichana wako unawatafutia wapi........?......
 
Piga moyo konde soldier mwombe Mungu atakupa aliyebomba km ww! nipe kazi nikutafutie wapo wanaonighac mm hawana waume.
 
Piga moyo konde soldier mwombe Mungu atakupa aliyebomba km ww! au nipe kazi nikutafutie wapo wanaonighac mm hawana waume
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

Huwezi kupata kamwe maana mwanaume hawezi kujisifia eti ana figure bomba na sura makini, bora ungesema kuwa mimi ninajishughulisha na kazi ABC au mimi ni mwajiliwa kampuni flani na hali yangu si mbaya kifedha.Lakini kwa habari zako za kutangaza uzuri labda kama unataka kuliwa kiboga sawa
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

Nami naona figure boomba unayo, mashallah!! sasa skia Garage party second season inakuja soon tatizo lako litaisha
 
Ah soldier kuandka huwezi,kutongoza huwezi na bora usiweze kubaka.
 
Oooh My! Figure na sura bomba? nenda Mombasa watakufata wenyewe
 
soujer boy!!!! pamoja na hizo sifa me nahisi we mbabe,, malaya;; na hujui ku care wasichana..... au labda una hela na huna kipaji cha kuhonga?????
kama una hizo tabia acha na utapata mke.

Mkuki tu hapo hamna kitu mwambieni bila dushee la kufa mtu hampati demu
 
Hapo kwenye U-soldier, ndio kwenye utata. Yasije yakawa kama ya dada Ufoo.
 
Hahaaa, dunia imegoma kuzunguka sasa inapinduka pinduka tuu, yaani bila aibu mwanaume ujisifie figa, sijui sura khaaaa!!!! Uko serious kweli? Muda si mrefu utapata pm na marinda yataondoka. AIBU.
 
hahahaha Soja!? punguza kuwapptoch ili uwa-approach!
 
Wewe kwa nini unatuapptochi......?......wasichana hatupendi kuapptochiwa tunahisi kama utatutoboa........
Halafu soja.......wewe hao wasichana wako unawatafutia wapi........?......

I salute you for ur comments, unanikosha sana
 
ri afande ra nchi rina ria ria jf kuwa harina demu....hii ni aibu kwa soja mkamirifu kama wewe (a.k.a riacha usirishike mpaka riteme renyewe) we unajua mapenzi ni kugogpbeka tu
 
Kweli wewe bado analogia! Acha ujinga! Weka picha hapa! Fara mkubwa we!
 
Back
Top Bottom