Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

Kumbe wanaume pia wana figure bomba? Halafu una hera kibao. Kingine sura makini . Unakosa msuchana mwenye upendo wa dhati? TATIZO LAKO
NI UNA DUDUCHI KIDOOOGO HAKIRIDHISH HATA ..... SASA
UTAMPATA NANI AFE NA URARU WAKE ? ( NYEGE)
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

Kuna mawili 1.Jifunze kuandika kwanza chief maana pamoja na "HERA" zako kama ndivyo unavyojibu messages za wasichana kwa mwandiko huu wa hausigelo basi ndio maana wanakukimbia. 2. Suala la figure bomba watafute jamaa wanaitwa Tanzania Sisi kwa Sisi Foundation watakushauri juu ya ujinsia wako maana mwanaume hajisifii shepu. :A S-confused1:
 
kweri..nimeridhika na mawazo yenu..wote walioponda na wote waliojaribu kunisaidia..sura..umbo na pesa kumbe sio kitu..ngoja nimrudie Mungu..naaamin huko nitakua na faraja ya moyo..
safi kabisa..ila uache kumix r na l
 
Back
Top Bottom