Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

Msaada: Kwanini ninapotongoza sikubaliwi?

saambili

Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
25
Reaction score
4
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..
 
Mhh hata mimi najiuliza kama figure bomba sura makini na herra kibao kwann ushindwe kupata Dem???!! Mmhhh something is fishy!!
 
Sasa figure bomba mdada ataipeleka wapi???!!!
Sura ni addedadvantage tu sio basic requirement!!!!!
Hilo la hela lina meeeengi ya kujadili mathalani una hela na dharau,nan muelewa utampata??????

Wenye upendo wa dhati kwa hizi sifa zako humpati leo wala kesho!!!!
 
...unazungumzia matokeo umeacha sababu za hayo matokeo,hutapata suluhu...
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

Wewe kwa nini unatuapptochi......?......wasichana hatupendi kuapptochiwa tunahisi kama utatutoboa........
Halafu soja.......wewe hao wasichana wako unawatafutia wapi........?......
 
^^
You are a soldier?? Tumia nguvu ndio mtaji uliojikusanyia
^^
 
Wewe kwa nini unatuapptochi......?......wasichana hatupendi kuapptochiwa tunahisi kama utatutoboa........
Halafu soja.......wewe hao wasichana wako unawatafutia wapi........?......

Teh teh teh....

Afu da Preta mbona sijakuona kwenye matanga ya mama Ufoo na mkwewe???
 
Last edited by a moderator:
soujer boy!!!! pamoja na hizo sifa me nahisi we mbabe,, malaya;; na hujui ku care wasichana..... au labda una hela na huna kipaji cha kuhonga?????
kama una hizo tabia acha na utapata mke.
 
wenye mapenzi ya kweli wapo wengi sana kazi namna ya kuwapata. Kama unataka mke mzuri basi fuata sheria za kumpata mke mwema, kama vile kumwomba mungu, kwenda kanisani, kwenda kwenye semina mbalimbali, kupenda kuongea na wasichana wenye maadili, kuheshimu watu, kuheshimu wasicha na pia wewe mwenye uonyeshe kuwa wewe ni mme bora kwa kuwa na madili mema kwani wasicha wenye mapenzi mema hutaka kuolewa na mme mwenye mapenzi ya kweli. Kwa ufupi kila kitu kinaanza na wewe
 
Teh teh teh....

Afu da Preta mbona sijakuona kwenye matanga ya mama Ufoo na mkwewe???

Kule msibani nilipita kidogo.......lakini naona mambo yamekuwa mengi sana.......nimebaki kuwa msomaji.......nipo busy kumuombea Ufoo apone......ili tujue hasa.......nini kilitokea.........
 
Last edited by a moderator:
Labda unaleta za kisoja mpka sehemu isiyoitajika.....wanawake wanapenda kubembelezwa,kujaliwa na vitu vinavyoelekeana na hivyo sasa wewe mpo faragha na demu unamwambia panuuuuuu la sivyo nitakutema makofi lol......utampata nani???
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

mmh! Ningekutafuta nikupende kwa dhati lakini nastuka!! Unamiliki mguu wa kuku!! Aaah ndo basi teeena!! Btw-jichunguze kijana huenda unatumia pesa zako na kuwavuta wasichana wa makundi hayo,huenda wewe ni mpenda starehe,hujui kupenda unajua kutongoza,utapendwa na nani? Jichunguze kwanza!!
 
Rabda ujaribu kutumia military force kama diplomasia na pesa imeshindwa kukusaidia kupata papuchi.
 
inaniumiza kichwa..pamoja na figure bomba sura makin. na hera kibao bado nashindwa kupata msuchana mwenye upendo wa dhat..help me friends how could i do..

sojaa.?¥ hivi uko kambini kwenu hamfundishwi muandiko...?¥ au huoni na husomi ulicho kiandika kwanza kabla ya kuposti.!?

Any way... Back kwa tatizo lako... Aliekwambia ukiwa na hizo sifa ndo unampata mwanamke wa chaguo lako ninani.?¥ automaticaly hauko romantic kwa wanawake ndo mana wanakukimbia... Muda wote wewe kwako ni kucommand tuuuuu nani aishi na wewe.?

Kingne wewe ni mwanajeshi kazi yako kulinda nchi... Bila aibu unalilia wanawake?! Hivi hujui kua uku mipakani wahamiaji haramu wanaingia bila kizuizi chochote alafu wewe unalilia penzi.?!

Wewe ni janga kwa taifa..
 
Wewe kwa nini unatuapptochi......?......wasichana hatupendi kuapptochiwa tunahisi kama utatutoboa........
Halafu soja.......wewe hao wasichana wako unawatafutia wapi........?......

Ahsanteeee mama.... mi mwenyewe nilihisi tatizo ni huko kuapptopchi ... ajitahidi kutumia njia mbadala... hasa hizo "hera"
 
Kule msibani nilipita kidogo.......lakini naona mambo yamekuwa mengi sana.......nimebaki kuwa msomaji.......nipo busy kumuombea Ufoo apone......ili tujue hasa.......nini kilitokea.........

hivi unafikiri kama fault ilikuwa kwa ufoo na mama yake atakubali kusema ukweli?
Hapo tutegemee kusikia chanzo cha tatizo from the beggining ilikuwa Mushi!
 
Back
Top Bottom