Kaweke injini mounting nyingineGari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
Cheki plagi......Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
Nimefurahi umeanza kufanikiwa but hakikisha unaweka plug zinazoendana na gari yako....Jana nilipobadilisha plug nikaona ile hali ya mtetemo umeanza kupungua. Plug tano zilikuwa zimepiga shoti. Asante sana kwa ushauri
Nadhan itakua ni issue ya misfiring, kacheki plugs kama ziko sawa.Gari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni
Honda habari, tatizo lako limekwishaaaaa
Habari. Gari lako limeponaGari langu linakuwa na mtetemo pale ninapokanyaga mafuta ili lianze kutembea kawaida hali hii hutokea pale gari linapokuwa kwenye speed ya 0 mpaka 20km. Naombeni ushauri ndugu zangu. Asanteni