Msaada: Kwa yeyote mwenye kuweza kunipa majadiliano ya mjadala wa richmond uliofanyika bungeni

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
547
70
Habari wa jf
tafadhali kwa yeyote mwenye kuwezakunipamajadtliano ya mjadala wa richmond uliofanyika bungeni mjini dodoma anisaidie niweze pata, maana nauhitaji kujua uliendaje? Maana siye wengine kipindi hichi tulikuwa bado wadogo kuweza kupata nafasi ya kusikiliza yani nilikuwa darasa la 6. Nami napenda nijue ilikuwaje na ilienda vipi.
 
ingia kwenye website ya bunge, angalia hansard za mwaka 2008 kama sikosei. halafu utaona kila kitu
 
Back
Top Bottom