Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

Sijaona slip, lakini mwongozo wa necta kuhusu madaraja ya kidato cha sita 2016 unasema E ni 40-49 na ni Satisfactory.
hapana mkuu apa umekosea E=50-54,D=55-64,C=65-74,B=75-80,A=81-100
 
Wenye hz points wote wanaaply vyuo.
1.DDE dvs 3 ya 13
2.DDS dvs 3 ya 14
3.DEE dvs 3 ya 14
4.DDF dvs 3 ya 15
5.CEE dvs 3 ya 13
6.CES dvs 3 ya 14
7.CEF dvs 3 ya 15
Haya nadhani nmemaliza mgogoro hapo jamani.
Mwenye swali aulize please.
TCU SYSTEM IS AGAINST NDALICHAKO.
TCU SYSTEM LOOK FOR 4 CUTT OFF POINTS AND NOT ATHOR WISE.
Na ndo maaana koz zaafya zmekua na compttn kubwa from other applicants saabu wameomba wengi hadi dvsn 3 ya 15.
Ila ingekua n DD basi compttn from other applicants ingepungua.
 
Wanahitaji principales 2 ili ujiunge chuo kikuu kuchukua degrée kwa Wale waliomaliza form 6 2016 na principe inaanzia D mpaka À.... Mdogo wangu wa kike kasoma PCM ana CEE na wamemzingua kuanza degrée.
Wewe utakuwa unaomba kusoma md labda, ndio maana wamekuzingia
 
Anadai kaambiwa hajafaulu kuanza kuchukua degrée kutokana na maelezo yake na ameshapply kupitia cheti cha form 4 anaenda kuanza Sijui diploma .

TCU na ndalichako wanatofautiana tatizo linakuja ukilazimisha Kuapply na CEE si anaweza kuja kukutumbua siku za usoni?
 
Hapo kwenye nyekundu umekosea D(2) + E(1)=3TCU points kwa masomo 2. Kwa hiyo ingawa total ana 4 points lakini TCU wana-angalia kwanza hurdle ya 4 points from 2 subjects. Ukivuka hiyo ndio wanapiga hesabu za point zako zote. Kama hukuvuka hapo ndio mwisho wa consideration. Hivyo inatakiwa DD au CE hizo ndio za chini kabisa.
 
Unapata nafasi ya kufnya udahili sawa lakini walidai haswa huyu waziri wao Kwamba Kama huna principal mbili unaanzia diploma na sio degree.
 
kwenye DEE hapo mkuu umetudanganya
 
Mimi ningeapply na CEE kwa sababu anakidhi vigezo vya kuomba chuo na hakuna wa kumtumbua kwani ndio vigezo walivyoweka wenyewe. Sasa kwa kuwa hatujui nani kamwambia hivyo na kwa msingi gani hatuwezi kulizungumzia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…