Kwa Watanzania wanaosoma au waliosoma Makerere University

spleen

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
3,224
4,662
Husika na mada tajwa hapo juu, naomba msaada kwa yeyote ambaye yupo au alikuwepo Makerere University, nafanya applications hapa, malipo inakuaje (applications fee), nipo Mwanza, Tz.
 
Ngoja waje wakupe muongozo.

Pia jaribu kuwasiliana na admission ofisi yao nadhani watakupa msaada pia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bila shaka wamekupa a/c number ya Standard chartered au KCB. Nenda bank hapo Mwanza lipia
 
Bila shaka wamekupa a/c number ya Standard chartered au KCB. Nenda bank hapo Mwanza lipia
Naaplply postgraduate, na vipi suala la kupeleka hardcopy za vyeti, bio-data na refereee campus kwao?, limekaaje hili?, unaweza nipa ABC kabla sijaanza safari
 
Husika na mada tajwa hapo juu,naomba msaada kwa yeyote ambaye yupo au alikuwepo Makerere University, nafanya applications hapa, malipo inakuaje (applications fee), nipo Mwanza, Tz.
Hellow samahan naomba kuuliza ulifanikiwa ili na mm unipe utaratibu
 
Jitahdi kufika Uganda pia ili uwe na uhakika zaidi wa kupata

Karibu na Kenya mkuu ila ujipange kipesa hasa kwa course za science
 
Jitahdi kufika Uganda pia ili uwe na uhakika zaidi wa kupata

Karibu na Kenya mkuu ila ujipange kipesa hasa kwa course za science
Vip MSc in Accounting and Finance fees yake ikoje na hostel kwa semister ni sh ngap
 
Mkuu mi nataka nikasome Kyambogo University mwakani,utakuwa ushakuwa mzoeafu,natumai utanipa uzoefu.
 
Naaplply postgraduate,na vipi suala la kupeleka hardcopy za vyeti,bio-data na refereee campus kwao?,limekaaje hili?,unaweza nipa ABC kabla sijaanza safari
Mkuu na mimi natafuta admission ya PhD ya Uganda, vipi process zako ulifanikisha na vpi umeomba chuo gani na deadline mwisho lini?
 
Back
Top Bottom