msaada kwa wataalamu wa huawei!!!

msaada kwa wataalamu wa huawei!!!

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
864
Reaction score
213
Wasalaamu wazee wa jamvi?
Ukiingia kwenye simu sehemu ya nyimbo music,sasa problem ipo hapa,ukirushiwa nyimbo ikaingia kwenye simu ikionekana kwenye ile list ya nyimbo tu baada ya mda inabeba picha zilizomo kwnye simu?kwahiyo badala ya kuonekana picha ya cd inaonekana picha ya kitu chochote kilichodownloadiwa au kuruahwa kwa bluetooth!haizuii nyimbo isicheze bali inakera sana ,naombeni msaada jinsi ya kuiondoa yaani nyimbo isibeba picha kama simble yake!natumai nimeeleweka!
 
nafkiri itakua ni tatizo la player. kama nyimbo haina image yake basi inapick last one.

cha muhimu jaribu kudownload player nyengine playstore uone kama tatizo litaendelea
 
Mimi ninaomba msaada wa ku unlock hii Huawei Y300 itumie line zote
 
Mimi ninaomba msaada wa ku unlock hii Huawei Y300 itumie line zote

cheki hii link....
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number-3.html#post7819313
au
umannezakayo is offline
kwa wale wanaotaka ku-unlock simu zao za huawei ascend Y200 au Y300 au simu za zte, simu za pantech, simu za alcatel. simu za micromax, amoi na smartphone zinginezo nyingi tu kwa tsh 10.000/=tu. Na pia ukitaka ku-unlock mobile wifi/mifi/router pia ni sh 15,000/=tu, wasiliana na mimi kwa 0682-29-57-52. napatikana dar es salaam
 
Sorry wakubwa hilo tatizo co la huawei pekee, hata mimi natumia TECNO P3 nasumbuliwa nalo! Ushauri plse!
 
Haha Hyo Huwa Inawatokea Weng... Somtimes Unakuta Imeweka Pcha Ya Dem Wako had Kero...

Solution Ya Moja kwa Moja Japo Ni Ndefu sana ...
Hapa utatakiwa Uwe Na Pc.. So Unachofanya Una Download Mp3 tag.. Kwenye Pc.. ni Freeware Hii.. Kwa Kutumia Program Hii Unaweza Kuweka Tags Na Pia Unaweka Kava Za Album Unayotaka.. So Utachagua Picha Unayotaka Na Kui set.. Baada Ya Hapo Hyo Ndo Itakua Kava Ya MOja Kwa Moja Ya Album..na Hata wimbo... Hata Ukiuamisha Unless U change ww

Pia kuna Programs Nyngne Znaweza Weka Tags Kwenye Audio Yako Kama
-Jet Audio
-IAMP3
-i Tunes
Na Nyngneee
 
Back
Top Bottom