Msaada kwa walioandikiwa "NO BIRTH CERTIFICATE" na HESLB

Msaada kwa walioandikiwa "NO BIRTH CERTIFICATE" na HESLB

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
Mi nimekuta ni mmoja ya wanafunzi ambao wapo eligible kupata mkopo lakini wananiambia nipeleke cheti cha kuzaliwa. VP kuna MTU ambaye kaenda nacho tyr? Feedback yao ni nn baada ya kuwasilisha? Nipo mkoani na wanasema nipeleke mwenyewe wana maana gani.
 
Nenda heslb na hcho chet cha kuzaliwa, watarekebisha taarifa zako then utaambiwa usubil
 
peleka cheti ndipo utajua wanamaana gani
 
Back
Top Bottom