Msaada kwa walio update New ios9.0.1

Msaada kwa walio update New ios9.0.1

M2flan

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
1,389
Reaction score
631
Naomba kufahamu kwa waliofanya updating ni usumbuf hupi uliopatikana wakati wa ku-update new OS ya iphone (ios9.01)...na mda gani ilichukua kumaliza?
 
kuna wenzako hawapati usumbufu na imechukua dakika 1 au hata sekunde kadhaa kudownload hio update. update ina ukubwa around 1gb hivyo utahitaji bundle kubwa na internet yenye speed.
 
Shukrani
 
Tumia iTunes....inadownload na kuinstall updates automatic....iOS 9 ina gb 1.8 so uwe na kifurushi cha kutosha
 
kuna wenzako hawapati usumbufu na imechukua dakika 1 au hata sekunde kadhaa kudownload hio update. update ina ukubwa around 1gb hivyo utahitaji bundle kubwa na internet yenye speed.

Vipi umeona mtu yeyeto mwenye iPhone 5 ambae ame-update na imekubali vizuri bila kumletea matatizo yoyote?
 
Back
Top Bottom