Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,832
Google Pixel 6 na Pixel 6 Pro zinakaribia mwisho wa muda wake wa kupata updates ya Mfumo pamoja na Security.
๐ Ratiba ya mwisho wa updates kwa baadhi ya Simu za Google Pixel:
โ Pixel 6 na Pixel 6 Pro: Oktoba 2026.
โ Pixel 6a: Julai 2027.
โ Pixel 7 na Pixel 7 Pro: Oktoba 2027.
โ Pixel 7a: Mei 2028.
โ Pixel 8 na Pixel 8 Pro: Oktoba 2030 security update mpaka mwaka 2031.
โ ๏ธ KUMBUKA:
Simu ikimaliza kupata updates haimaanishi itaacha kufanya kazi, lakini inaweza kukosa maboresho mapya ya Android na marekebisho muhimu ya kiusalama (security update).
Unatumia Google Pixel model gani, na unadhani miaka 5 ya updates inatosha kwa simu ya kisasa?
๐ Andika model ya simu yako kwenye comments!