Mkuu SHAMAC, asante kwa kunipa uzoefu. Ni kweli yule kijana anadai wanafunzi wengine wote wamepewa isipokuwa wanafunzi wa colleges mbili, ikiwemo ya kwake! Mshangao wangu naona semister karibu inaisha lakini bado anasema hawajapewa. Mimi sina uzoefu na UDSM maana nimepitia kwingine!