sijakuelewa pleaseNimeona Itakuwa Njema Kama Wale
Wazoefu Wangeleta Maujanja Ya
Kupata Vyuo Vizuri, Tips Za Kwenye
Kuomba Mkopo, Na Mbinu Nyingine Zenye Manufaa Kwa Form Six Leavers.
Nimeona Itakuwa Njema Kama Wale
Wazoefu Wangeleta Maujanja Ya
Kupata Vyuo Vizuri, Tips Za Kwenye
Kuomba Mkopo, Na Mbinu Nyingine Zenye Manufaa Kwa Form Six Leavers.
Na mimi nashangaavipi?
Huo ni upotoshaji,, kwa UDOM Ada ya Degree in Nursing ni Tshs 1500000/= ilhali Diploma in Nursing ni 1200000/=.Naomba kujua kwa nini ada ya nursing and midwifery (3,000,000) ni kubwa kuliko hata ya udaktari (1,880,000)? see NACTE admission book
Huo ni upotoshaji,, kwa UDOM Ada ya Degree in Nursing ni Tshs 1500000/= ilhali Diploma in Nursing ni 1200000/=.
Karibu UDOM
Si unaona mpendwaNa mimi nashangaa
Kubadilidha badilisha kuna athali gani?Hakuna ujanja zaidi ya kuwa na information ya kutosha kuhusu kozi nunayoitaka na chuo chake na kufanya machaguzi ya kozi unayoyaweza kuingia.. Uwe na cut-off point inayoruhusu kuingia chuo hicho katika kozi husika na pia jaribu kuwahi kuomba.. Yaani within 12hrs baada ya kufunguliwa website ya TCU wewe uwe umeshaomba. Na mwisho kabisa.. Usibadirishe badirishe! Ukichagua hakikisha umejiridhisha na chaguo hilo and so usibadirishe..! Mwisho kabisa ni bahati..!
labda ni typing error, imezidi mpaka vya private, udom kwa kupiga ela wanafunz namba moja...Si unaona mpendwa
UNIVERSITY OF DODOMA (DM) - Government
Dodoma Municipal Council - Dodoma
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including "C" passes in Chemistry and Biology; and "D" passes in Physics/Engineering Sciences and English Language, pass in Basic Mathematics is an added advantage. 100 3 Local Fee: TSH. 3,000,000/=
Nimeangalia Fee Structure ya UDOM for undergraduates-Tuition fee kwa Diploma in Nursing ni 1200000 kama alivyo andika Philosopher. Tafuta https://www.udom.ac.tz//wp-content/uploads/2016/01/Tuition-Fee-and-Direct-cost.pdfHuo ni upotoshaji,, kwa UDOM Ada ya Degree in Nursing ni Tshs 1500000/= ilhali Diploma in Nursing ni 1200000/=.
Karibu UDOM
Naomba kujua kwa nini ada ya nursing and midwifery diploma (3,000,000) ni kubwa kuliko hata ya udaktari (1,880,000)? see NACTE admission book
Hiyo Ada haipo UDOM kwa Programme yoyote ile. Programme yenye Ada kubwa zaidi ni Medicine, 1800000/=. Hao waloandika Mil 3 hawako sahihi.Si unaona mpendwa
UNIVERSITY OF DODOMA (DM) - Government
Dodoma Municipal Council - Dodoma
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including "C" passes in Chemistry and Biology; and "D" passes in Physics/Engineering Sciences and English Language, pass in Basic Mathematics is an added advantage. 100 3 Local Fee: TSH. 3,000,000/=
Hiyo Ada haipo UDOM kwa Programme yoyote ile. Programme yenye Ada kubwa zaidi ni Medicine, 1800000/=. Hao waloandika Mil 3 hawako sahihi.Si unaona mpendwa
UNIVERSITY OF DODOMA (DM) - Government
Dodoma Municipal Council - Dodoma
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including "C" passes in Chemistry and Biology; and "D" passes in Physics/Engineering Sciences and English Language, pass in Basic Mathematics is an added advantage. 100 3 Local Fee: TSH. 3,000,000/=
Hiyo Ada haipo UDOM kwa Programme yoyote ile. Programme yenye Ada kubwa zaidi ni Medicine, 1800000/=. Hao waloandika Mil 3 hawako sahihi.Si unaona mpendwa
UNIVERSITY OF DODOMA (DM) - Government
Dodoma Municipal Council - Dodoma
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including "C" passes in Chemistry and Biology; and "D" passes in Physics/Engineering Sciences and English Language, pass in Basic Mathematics is an added advantage. 100 3 Local Fee: TSH. 3,000,000/=
asante sana. Nimeomba niombee nichaguliwe.Hiyo Ada haipo UDOM kwa Programme yoyote ile. Programme yenye Ada kubwa zaidi ni Medicine, 1800000/=. Hao waloandika Mil 3 hawako sahihi.
Karibu UDOM
Asante sana , nimeona. Kwenye NACTE wamepotosha.Nimeangalia Fee Structure ya UDOM for undergraduates-Tuition fee kwa Diploma in Nursing ni 1200000 kama alivyo andika Philosopher. Tafuta https://www.udom.ac.tz//wp-content/uploads/2016/01/Tuition-Fee-and-Direct-cost.pdf