Msaada kwa walio UDOM/wenye ufahamu wa hili

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,004
Naomba kujua kwa nini ada ya nursing and midwifery diploma (3,000,000) ni kubwa kuliko hata ya udaktari (1,880,000)? see NACTE admission book
 
Nimeona Itakuwa Njema Kama Wale
Wazoefu Wangeleta Maujanja Ya
Kupata Vyuo Vizuri, Tips Za Kwenye
Kuomba Mkopo, Na Mbinu Nyingine Zenye Manufaa Kwa Form Six Leavers.
 
Mh,labda watu watakuwa wanaukimbia mziki mzito wa md
 
Nimeona Itakuwa Njema Kama Wale
Wazoefu Wangeleta Maujanja Ya
Kupata Vyuo Vizuri, Tips Za Kwenye
Kuomba Mkopo, Na Mbinu Nyingine Zenye Manufaa Kwa Form Six Leavers.

Hakuna ujanja zaidi ya kuwa na information ya kutosha kuhusu kozi nunayoitaka na chuo chake na kufanya machaguzi ya kozi unayoyaweza kuingia..

Uwe na cut-off point inayoruhusu kuingia chuo hicho katika kozi husika na pia jaribu kuwahi kuomba..

Yaani within 12hrs baada ya kufunguliwa website ya TCU wewe uwe umeshaomba. Na mwisho kabisa.. Usibadirishe badirishe! Ukichagua hakikisha umejiridhisha na chaguo hilo and so usibadirishe..! Mwisho kabisa ni bahati..!
 
Naomba kujua kwa nini ada ya nursing and midwifery (3,000,000) ni kubwa kuliko hata ya udaktari (1,880,000)? see NACTE admission book
Huo ni upotoshaji,, kwa UDOM Ada ya Degree in Nursing ni Tshs 1500000/= ilhali Diploma in Nursing ni 1200000/=.
Karibu UDOM
 
Upotoshaji uko wapi jamani? soma hii C&P from NACTE admission guide book
UNIVERSITY OF DODOMA (DM) - Government

Dodoma Municipal Council - Dodoma

S/N
Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees

1. ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including "C" passes in Chemistry and Biology; and "D" passes in Physics/Engineering Sciences and English Language, pass in Basic Mathematics is an added advantage. 100 3 Local Fee: TSH. 3,000,000/=
 
Na mimi nashangaa
Si unaona mpendwa

Hakuna ujanja zaidi ya kuwa na information ya kutosha kuhusu kozi nunayoitaka na chuo chake na kufanya machaguzi ya kozi unayoyaweza kuingia.. Uwe na cut-off point inayoruhusu kuingia chuo hicho katika kozi husika na pia jaribu kuwahi kuomba.. Yaani within 12hrs baada ya kufunguliwa website ya TCU wewe uwe umeshaomba. Na mwisho kabisa.. Usibadirishe badirishe! Ukichagua hakikisha umejiridhisha na chaguo hilo and so usibadirishe..! Mwisho kabisa ni bahati..!
Kubadilidha badilisha kuna athali gani?
 
Si unaona mpendwa
UNIVERSITY OF DODOMA (DM) - Government
Dodoma Municipal Council - Dodoma
S/N
Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including "C" passes in Chemistry and Biology; and "D" passes in Physics/Engineering Sciences and English Language, pass in Basic Mathematics is an added advantage. 100 3 Local Fee: TSH. 3,000,000/=
labda ni typing error, imezidi mpaka vya private, udom kwa kupiga ela wanafunz namba moja...
 
Huo ni upotoshaji,, kwa UDOM Ada ya Degree in Nursing ni Tshs 1500000/= ilhali Diploma in Nursing ni 1200000/=.
Karibu UDOM
Nimeangalia Fee Structure ya UDOM for undergraduates-Tuition fee kwa Diploma in Nursing ni 1200000 kama alivyo andika Philosopher. Tafuta https://www.udom.ac.tz//wp-content/uploads/2016/01/Tuition-Fee-and-Direct-cost.pdf

Naomba kujua kwa nini ada ya nursing and midwifery diploma (3,000,000) ni kubwa kuliko hata ya udaktari (1,880,000)? see NACTE admission book
 
Si unaona mpendwa
UNIVERSITY OF DODOMA (DM) - Government
Dodoma Municipal Council - Dodoma
S/N
Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including "C" passes in Chemistry and Biology; and "D" passes in Physics/Engineering Sciences and English Language, pass in Basic Mathematics is an added advantage. 100 3 Local Fee: TSH. 3,000,000/=
Hiyo Ada haipo UDOM kwa Programme yoyote ile. Programme yenye Ada kubwa zaidi ni Medicine, 1800000/=. Hao waloandika Mil 3 hawako sahihi.

NACTE wazinguaji Typing error huwa hawajali kabisa
..

UDOM Diploma zote za Afya ni 1,200,000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom