Habari wana jukwaa la Elimu,
Nisiwe na maneno mengi sana, ningeomba kujua sifa zipi hutumika kujenga chuo cha ngazi ya chuo kikuu, iwe mjini au katika mji mdogo. Je, fedha na mali pia huzingatiwa kama sifa kwa mamlaka husika?
Kwa lugha rahisi, ningependa kujua sifa za kuanzia chuo kikuu nchini Tanzania. Sijui mengi kuhusu suala hili, hivyo natarajia msaada kutoka kwenu.
Karibuni sana wanajukwaa.