Tumia app inaitwa TEMPO....inadownload mp3,video kama mpenzi wa redio utasikilizaa piaa View attachment 1609460
Mkuu hujasoma manual ya simu jinsi ya kutumia!
ndio
So unaweza sikiliza ukiwa offline adi hizi local radiosTumia app inaitwa TEMPO....inadownload mp3,video kama mpenzi wa redio utasikilizaa piaa View attachment 1609460
So unaweza sikiliza ukiwa offline adi hizi local radios
No....online mkuu
daaaah ila hizi simu unatakiwa uwe na roho ngumu kuzitumia
Kawaidaa tuu ukizoea...
yaan mpk sasa sijaona njia rahis ya kupakua nyimbo
Unatumiaa app ganii??
nimejarbu karibia zote nilizoelekezwa apo juu lakin zote naona mazoezi tuuu labda unipe nyingine kama ipo
Mimi natumia tempo....jaribu audiomack kama tempo imeishindwaa
daaah zote hizo nimeshazichek ila naona mauza uza tuuu
Kuwa specific....nini kinakutatiza katika utumiaji....
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us