Msaada kwa wajuzi wa sheria na katiba ya Zanzibar

Hector Cooper

JF-Expert Member
Apr 16, 2023
554
778
Napenda kujua kuwa katiba ya Zanzibar imeeleza vipi pale ambapo Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) anapofariki au kupoteza uwezo wa kuongoza.

Ni kiongozi yupi atakaeshika madaraka?

Au utafanyika uchaguzi?

Naomba kujua.
 
Back
Top Bottom