Msaada kwa ndugu yetu huyu

I wish ningekuwa dar, hata bila pesa ningefanya kitu. Kiufupi mshana haukuwa ukihitaji hata senti moja, ulitaka ndg yetu asaidiwe mojakwamoja. Hao haters waache tu.
 
Mkuu,alipataje mawasiliano nawe tena akati hapo awali alipozama kila kitu kilibaki baharini? 2.kwann usijitolee kumdhamini ilihali n rafiki ako? Unaogopa nn??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumuuliza alipataje namba yangu na kuwapatia police kwakuwa bado yupo police unaweza kufika na kupata maelezo yake
Kule wadhamini wanatakiwa wawili kila mmoja aweke bond ya million moja
Mkuu,alipataje mawasiliano nawe tena akati hapo awali alipozama kila kitu kilibaki baharini? 2.kwann usijitolee kumdhamini ilihali n rafiki ako? Unaogopa nn??!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumuuliza alipataje namba yangu na kuwapatia police kwakuwa bado yupo police unaweza kufika na kupata maelezo yake
Kule wadhamini wanatakiwa wawili kila mmoja aweke bond ya million moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema bado yuko polisi?
Na ubalozi wa Kenya walijulishwa?

God save us
 
[emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji116][emoji116][emoji116][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update....
Kwanza niwashukuru wana JF wote walioguswa na hili jambo na wale ambao walifanya ya ziada...
Shida ilikuja Kutokea kwenye mawasiliano kati ya wanaotaka kutoa msaada na police wa marine... Kuna mtu hapa.. Nitamtaja akiridhia alifanya mawasiliano na ubalozi wa Kenya nao wakawa tayari kusaidia lakini kupiga simu nilizowapea na nyingine walizopata wao hakukuwa na response nzuri...
Police walikana kuwa na mtu kama huyo kituoni marine.. Uhamiaji pia hawakuwa na kesi kama hiyo.. Ubalozi wakaamua kuachana nayo.. Ni almost nilionekana muongo...
Jana mhusika alinipigia simu kwa kuanza na lawana kuwa sikuwa rafiki wa kweli.. Juhudi zote nilizofanya, msaada na gharama hakuzizingatia.... Nilimwelewesha kwa upole
Kumbe siku ya aliyopandishwa kizimbani mwezi December alikosa dhamana na kupelekwa SEGEREA mpaka siku ya jana baba yake aliyefika kutoka Kenya alipomtoa
Leo ndio ilikuwa aondoke Kenya lakini begi lake na documents vikiwa gesti kibaha alikokuwa na deni la siku 3... Jana alimtuma bodaboda wangu lakini bila hela.. Hivyo akakwama
Leo nikiwa kwenye harakati za kusaidia babayake akanipigia simu ya vitisho kwamba nashikilia begi la mwanae na documents zake na alinipa muda nivitoe lakini nimeshindwa sasa atanishtaki...
Nilikasirika mno kupita maelezo...



Jr[emoji769]
 
Nimekutana na visa vingi JF... Kiuhalisia JF si mahali salama sana kuna vijana wengi wanaitumia hii forum vibaya... Licha ya kwamba JF kuna wema wengi tu na wanaojitambua lakini vimeo wapo pia wengi tu..
Nina list ndefu lakini kuna huyu wa December.. Namsubiri aingie kwenye target.. Nitamleta hapa na kusimulia kila alichokifanya...

USHAURI WANGUA KWENU: EPUKENI KUJARIBU KUSAIDIA hawa watu wenye anuani za mtandoni.. Wengi si wakweli na si waaminifu..
Natambua wale tuliofanya nao kazi kwa uaminifu hawa hawahusiki hapa

Jr[emoji769]
 
Pole sana.
Usivunjike moyo bali endelea kuwa makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du pole sana mkuu. Naona huenda wamekupata. Ukishatulia ukiweza tuelezee vizuri mkasa wote kwa undani. Hii ndiyo dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…