KasomaJr
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 367
- 139
Hbari waja-Jamii Forum,
Nakuja kwenu kuomba msaada wa uzoefu kwa wale ambao tayari wamepita huko, kupata VISA ya US hususani kwa mtu anae kwenda kusoma nje (USA), Nachotaka kufahamu ni challenge kubwa huwa ni eneo gani na namna ya kukabiliana nayo. Kwangu nina issue mbili ambazo hasa nahitaji kujua waliopita huko wamefanyaje.
1. Bank Statement (my assumption ina hitajika ili ku-justify uwezo wa kufanya shule bila shida)-Je jambo hili mmeweza kuli-solve vipi hasa kwa wenzangu ambao hawakuwa na uwezo huo kuwa na kiasi cha zaidi ya $50,000 kwenye bank account?
2. Inteview set up inakuwa na mambo gani muhimu sana ambayo mtu anapaswa kujiandaa nayo?
NB: Kwangu mimi issue ni kupata VISA tu kwani mambo mengine yapo arranged kule kule US kwani nina mtu legit atakayeongoza njia za mambo mengine yote.
NAOMBENI MSAADA-ASANTENI