Msaada kwa mwenye soft copy Riwaya ya Mkimbizi

Msaada kwa mwenye soft copy Riwaya ya Mkimbizi

Dah mambo ya Hussein Issa Tuwa haya.

Ukiweka na Utata wa 9/12 inakuwa murua kabisaaaa
Jadu Mfaume,
Brian Koba
Gezza Dilunga
Fatma Suluja
Sidney "Sidi" Masha,

Hatari tupu humu, watu wamegombana sijui sayari gani huko hawakumalizana vizuri wamekuja kiliendeleza bifu lao hapa duniani.
 
Jadu Mfaume,
Brian Koba
Gezza Dilunga
Fatma Suluja
Sidney "Sidi" Masha,

Hatari tupu humu, watu wamegombana sijui sayari gani huko hawakumalizana vizuri wamekuja kiliendeleza bifu lao hapa duniani.
Haha hatari kabisa
 
Tiga Mumba ni Mkimbizi, sio mdunguaji.

Mdunguaji utakutana na kina Code Name Vampire,
Shukran mkui ,uko sawa.

Ila Hussein Tuwa ni mwamba sana ukisoma vitabui vyake hujuu mwisho itakuwaje unapata mzuka wa kuendelea
 
Ninazo soft copy za vitabu hivyo vyote, Mkimbizi, wimbo wa gaidi,miss Tanzania,mdunguaji n.k vyote vya bingwa wa taharuki!
 

Attachments

  • StitchIt_20231011115505_951.png
    StitchIt_20231011115505_951.png
    84.1 KB · Views: 58
Utaratibu wa kuvipata ukoje?
Wewe si mtu mzima Sheikh!!? Hujaelewa nini hapo mkuu!? Jionggeze! Dm nikufowadie free...maana ni kosa kisheria nikiweka hapa. Maana hata mimi nilivilipia japo ss hvi waliblock baada ya kutofautiana kimkataba na mwenye selling platform (web)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom