Mkuu naona kwenye hiyo blog story zake ziko nusunusu hazifiki mwisho, au kuna namna ya kuzifunguaKuna blog moja inaitwa buresiries blogspot, ukizama humo hutoki
Zipo zikiwa zimekamilika mkuu, wanaigawa kwa vipande vitano tu story yote unaimalza kwa hivyo vipandeMkuu naona kwenye hiyo blog story zake ziko nusunusu hazifiki mwisho, au kuna namna ya kuzifungua
JF STOREipo jukwaa gani
Asante ngoja nirudi tena hukoZipo zikiwa zimekamilika mkuu, wanaigawa kwa vipande vitano tu story yote unaimalza kwa hivyo vipande
upo sehem gan mkuuHicho kitabu mm ninacho tena hard copy ukikitaka nicheki tu nitakuachia ukisome
mkuu hauna sehemu ya sita na kuendeleaChukua mkimbiz hizo PDF uburudike hii hadithi Kali Sana yaan Kama unaangalia movieView attachment 2794911View attachment 2794915View attachment 2794914View attachment 2794913View attachment 2794912
mwendelezo haupo labda tumpate mtu mwenye hard copyMwendelezo
Mwambie mkushi mbishi anatukondesha Wallahmwendelezo haupo labda tumpate mtu mwenye hard copy
0655428085 mcheki Mkuu yuko fair nilichukua viwili akanipatia na punguzoNipatie namba zake mkuu siku nikijichanga nikanunue
Hukumkula kimasihala?0655428085 mcheki Mkuu yuko fair nilichukua viwili akanipatia na punguzo
sina nikipata ntakuwekeamkuu hauna sehemu ya sita na kuendelea
Itakua poa mnosina nikipata ntakuwekea
Mkimbizi zote za kwenye soft copy huwa zinaishia haposina nikipata ntakuwekea
Tatizo hiloMkimbizi zote za kwenye soft copy huwa zinaishia hapo