Msaada kwa mnaoijua vizuri Sumbawanga

Msaada kwa mnaoijua vizuri Sumbawanga

Mkuu, asikutishe mtu, Sumbawanga hakuna ubaya wowote. Ukiwa vizuri kifedha kuna hotel inaitwa Poland, ipo mkono wa kulia ukiwa stand upande wa get la kuingia. Nje pia kuna Hotel inaitwa Ligunga nayo iko vzr, nayo ipo mita chache tu ukitoka stand. Karibu Sumbawanga.
Safi nakuunga mkono
 
Kama wewe hujui ni Busara ukakaa kimya na kuwaacha wanaopafahamu wamuelekeze.


Mojawapo ya faida za mitandao ya kijamii ni kama hivyo MTU anaweza kupata taarifa za mahali Fulani kutoka kwa watu mbali mbali wanaopafahamu, bila kumlazimu yeye kufika huko.

Tupunguze ujuaji mwingi na Utoto wa kujibu jibu hovyo.
Inashangaza mwenyewe hana neno lakini wewe unawashwa washwa, ingependeza kama ungejali mambo yako, labda kama wewe ni wakili wake....
 
Back
Top Bottom