Msaada kwa mnaoijua vizuri Sumbawanga

Msaada kwa mnaoijua vizuri Sumbawanga

Mkuu, asikutishe mtu, Sumbawanga hakuna ubaya wowote. Ukiwa vizuri kifedha kuna hotel inaitwa Holand, ipo mkono wa kulia ukiwa stand upande wa get la kuingia. Nje pia kuna Hotel inaitwa Ligunga nayo iko vzr, nayo ipo mita chache tu ukitoka stand. Karibu Sumbawanga.
Habarini za asubuhi vijana wenzangu,

Kaka zangu shikamoni na Baba zangu Na Mama zangu pia.

Asubuhi ya leo nipo safarin kuelekea Sumbawanga mjini

Je kuna hotel gani nzuri hapo yenye kutoa huduma bora?
 
Ligunga patamfaa zaidi kama ana mpunga
Mkuu, asikutishe mtu, Sumbawanga hakuna ubaya wowote. Ukiwa vizuri kifedha kuna hotel inaitwa Poland, ipo mkono wa kulia ukiwa stand upande wa get la kuingia. Nje pia kuna Hotel inaitwa Ligunga nayo iko vzr, nayo ipo mita chache tu ukitoka stand. Karibu Sumbawanga.
 
Achana na propaganda za hao wanaosema sijui Ligunga hotel mara Ikuwo,wewe ukifika utaona hotel nzuri inaitwa HOLAND hotel,hutajutia kua pale ndugu yangu.Wasalimie Sumbawanga.
 
Habarini za asubuhi vijana wenzangu,

Kaka zangu shikamoni na Baba zangu Na Mama zangu pia.

Asubuhi ya leo nipo safarin kuelekea Sumbawanga mjini

Je kuna hotel gani nzuri hapo yenye kutoa huduma bora?
Ungesema hotel ya budget gani ungerahisisha ili ushauriwe vizuri...
Hiyo ya mzindakaya room inaanzia elfu 80 nadhan mpaka laki 2. Hiyo holland nadhan inaanzia elfu 35 na kuendelea
 
Habarini za asubuhi vijana wenzangu,

Kaka zangu shikamoni na Baba zangu Na Mama zangu pia.

Asubuhi ya leo nipo safarin kuelekea Sumbawanga mjini

Je kuna hotel gani nzuri hapo yenye kutoa huduma bora?
Marahaba.
 
Ukifika uliza hotel moja inaitwa Alyamba lya ufipa hotel hutajutaa mkuu
 
Achana na propaganda za hao wanaosema sijui Ligunga hotel mara Ikuwo,wewe ukifika utaona hotel nzuri inaitwa HOLAND hotel,hutajutia kua pale ndugu yangu.Wasalimie Sumbawanga.
Holland ina sifa ya kuibiwa kuwa wazungu waliibiwa na wafanyakazi wa Holland
 
Back
Top Bottom