Mbona maelezo mengi mkuu mara baba katuacha toka wadogo, mara mdogo wangu anapenda katuni, kwanza nakushauri huyo mdogo wako ni hazina kubwa kama ana tabia za kikatuni mpelekeni Hollywood akacheze sinema hatakuwa tajiri mkubwa atawasaidia wote mtaacha kumtegemea baba mdogo