kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,820
Nina mdogo wangu anasomea sheria UDSM, yupo mwaka wa 2, of course tangu akiwa Advance alikuwa anapenda sana kusomea sheria. Sasa tatizo limekuja hivi karibuni anadai msuli wa sheria unataka kumuua. Anadai ni hatari sana, yupo tayari aanze hata first year nursing diploma ila anadai shughuli ya kusomea sheria ni balaa sana.
Nilidhani labda amedisco so ananizuga but nimewasiliana na chuo wala hajadisco.
Hebu niambieni jamani mliosomea hii sheria ni kweli ngumu kiasi hicho?? Na nimshauri vipi ili aendelee na shule??
Nilidhani labda amedisco so ananizuga but nimewasiliana na chuo wala hajadisco.
Hebu niambieni jamani mliosomea hii sheria ni kweli ngumu kiasi hicho?? Na nimshauri vipi ili aendelee na shule??