msaada kwa hili

Kaa na mkeo akwambie 7bu za kulala na mamake ktk kitanda chenu huenda akawa na za mcngi za kukueleza, Kama anaeleza non sense ucmind ila mwoneshe kuwa hujapenda hiyo tabia kuashiria icrudie kwa cku ningine.
<br />
<br />
hilo ndilo swala la msing. Lazma umuonyeshe kitendo kilivyokukera. Ila si kwa kutumia jazba.
 
inakera sana kwa mama wa kitanzania kutoheshimu chumba cha mkwe wake. si halali kabisa kwa hili labda kama mkeo ameishi sana kwa wamanga ndio wana tabia hizi kama ni mama wa kitanzania hapana haingii akilini.
kama walivosema wengine ongea na mkeo akueleze kulikoni na ww funua matanda cheki na chini ya uvungu fanya ukaguzi huenda mama mkwe kapewa vidawa uchwara kampa bintie ili umpende zaidi ndio ujinga wa kitanznaia huo kuamini ndumba kuliko kuzidisha mapenzi..kama mkeo ni mama wa nyumbani na ni classless tegema hayo, kama ni msomi basi kuna walakini
 
Mama mkwe wa kizazi cha dotcom huyo; hajali cha mila wala nini!

Watakuwa walikuwa wanaongea, au mkeo huenda anaumwa au vyumba vingine si vizuri kama chako!

Anyway, ipotezee yeye ndiye aliyepaswa kuona aibu sana, kama haoni then kuna hatari mbeleni, hukawii kumkuta peke yake chumbani kwako next time! Sio wangoni hao?
 
sijaona tatizo kubwa hapo, ila tu mwambie mkeo yeye ndo alipaswa alale chumba cha mama yake.

Kwa nn binadamu tu wepesi wa kuwaza mabaya. Hujajiuliza labda mamamkwe au mkeo alikua mgonjwa ikabd walale wote mmoja amwangalie mwenzake? Au walikuwa wanapiga story wakapitiwa?
 
Tamaduni ipi hiyo jamani? Nilikuwa nawaza mkeo kalala na mamake chumba kingine kati vyumba vyako 4 niseme kapitiwa na usingzi huko wakiwa ktk stori, c unajua tena mama na mwana? Nadhan ulipaswa kumuuliza juu ya jambo hiyo 2jue karespond vp 2jue 2shaurije huenda hajui km ni mwiko!
 
hakuna sababu yoyote ya kutoheshimu privacy yenu. nahisi hata housegal anaingia na kutoka chumbani kwenu kama nyuki mzingani! kubalianeni limits, muulize yeye akiwa safari ataona sawa ww ulale na babako ama kaka yako huko chumbani kwenu? ongea nae kwa uzuri,umueleze ulivyojisikia. yakiendelea tena itakua issue mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom