msaada kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kwa hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kachumbari, Sep 3, 2011.

1. k

kachumbari Senior Member

#1
Sep 3, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 125
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Wandugu nilikuwa safari,nimerudi nyumbani kwangu usiku wa manane nimemkuta mama mkwe kalala na mke wangu chumbani kwangu,na nina nyumba kubwa tuu ya vyumba 4.niwaeleweje hawa watu na nifanyeje kwa hili?

2. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#2
Sep 3, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280
Labda mkeo anaogopa ameamua kuomba kamapani kwa mama yake. Je una watoto wakike?

3. k

kachumbari Senior Member

#3
Sep 3, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 125
Likes Received: 3
Trophy Points: 35

Waroto 3 wakike 1 na wakiume 2,mimi sielewi

4. Vaislay

Vaislay JF-Expert Member

#4
Sep 3, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 4,512
Likes Received: 38
Trophy Points: 145
Alikua anapiga stor akapitiwa na usingiz.muulize mkeo vzr

5. G_crisis

G_crisis JF-Expert Member

#5
Sep 3, 2011
Joined: Jun 19, 2011
Messages: 715
Likes Received: 62
Trophy Points: 45
Huyo mama mkwe wako na mkeo hawana nidhamu kabisa,ni afadhali mkeo angelala chumbani kwa mama yake wakati wewe haupo,
kama kuna uwezakano wa kutoishi na wakwe ni bora zaidi kwa sababu kutapunguza matatizo mengine na wewe kuwa huru zaidi

6. Matola

Matola JF-Expert Member

#6
Sep 3, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,280
Trophy Points: 280
Walikuwa wanasagana.

7. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#7
Sep 3, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 738
Trophy Points: 280
Duh...kazi kweli kweli

8. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#8
Sep 3, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

hapo kuna tatizo. Ingepaswa kama anaogopa amchukue mtoto mmojawapo wa kike alale nae kama anaogopa. Ujio wako walikuwa wanaujua?

9. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#9
Sep 3, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

mh!!!!... Huu nao ushauri??!

10. Power G

Power G JF-Expert Member

#10
Sep 3, 2011
Joined: Apr 20, 2011
Messages: 3,911
Likes Received: 88
Trophy Points: 145
Kwani hapa tatizo liko wapi? Si mama kalala na mwanaye, wewe inakuudhi nini? Mimi nilidhani unalalamika kwamba umemkuta baba mkwe amelala na mkeo, kumbe mama mkwe!

11. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#11
Sep 3, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
sioni ka kuna tatizo.............huko chumbani kwako waogopa kwani unafuga nni?majini?

12. Matola

Matola JF-Expert Member

#12
Sep 3, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,280
Trophy Points: 280
Sasa mama mkwe atalalaje kwenye kitanda unachompigia pipe binti yake, wewe wa wapi?...........

13. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#13
Sep 3, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

mambo yapo meng ya kufanya bandugu.

14. Kichwa Ngumu

Kichwa Ngumu JF-Expert Member

#14
Sep 3, 2011
Joined: Nov 6, 2010
Messages: 1,726
Likes Received: 33
Trophy Points: 145
Vp, Mkeo na mkwe wako huwa wanaamini ushirikina?
Is not normal hasa kama kuna vyumba vya kutosha wangeweza hata kwenda kulala chumbani huyo mama mkwe wako
take time talk to wife, alfu chungeza ili ujue tatizo ni nini?

15. m

mkaa Member

#15
Sep 3, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mama mkwe noma anampenda mkwewe

16. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#16
Sep 3, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280
Ujio wako walikuwa wanaujua?. Je baada ya kufika walistuka au walikuwa normal?

17. F12

F12 Member

#17
Sep 3, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 55
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
co kihivyo Matola

18. s

strit boy Member

#18
Sep 3, 2011
Joined: Aug 24, 2011
Messages: 87
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Acheni wewe swala hili linategemeana na mila na desturi za makabila fulani mfano kwetu mkwe wangu hawezi lala kwenye kitanda changu.

19. Matola

Matola JF-Expert Member

#19
Sep 3, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,280
Trophy Points: 280
Kumbe kivipi? kama baba mtu anaweza kufanya ngono na binti yake wa kumzaa, hapo wewe unashangaa nini?

20. F12

F12 Member

#20
Sep 3, 2011
Joined: Jun 15, 2011
Messages: 55
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Kaa na mkeo akwambie 7bu za kulala na mamake ktk kitanda chenu huenda akawa na za mcngi za kukueleza, Kama anaeleza non sense ucmind ila mwoneshe kuwa hujapenda hiyo tabia kuashiria icrudie kwa cku ningine.

Loading...