MSAADA KWA ANAYEJUA

MSAADA KWA ANAYEJUA

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Hivi mfano mtu ukasoma Uganda hivi akitaka kufanya kazi Tanzania ya hili course wataangalia GPA zake au wataangalia nini?? Kwa maana kuna mtu ameniambia ukisomea nchi kama uganda eti unakuwa haufahamiki yaani cheti chako hakitambuliki hapa nchi labla uombe kazi huko huko uganda???
 
Wasilisha cheti chako TCU, watathibitisha elimu hiyo na "document" watakayokupa itatumika sambamba na cheti chako cha chuo kuombea ajira, hiyo ni kiserikali-serikali, kwa upande wa N.G.O'S na Private sectors nadhani wanaangalia vitu vingine zaidi!
 
wengi wamesoma nje za watu wamepata kazi vizuri tu ila asilimia kubwa ni kazi za mashirika binafsi
 
Ngoja waje wanaojua zaidi,lakini kuna jamaa mmoja niliwahi kuwa nae kwenye usaili na alikuwa amesoma uganda walikataa vyeti vyake wakamwelekeza aende kuvifanyia udambwi dambwi kwanza ndo viweze kutumika hapa Tanzania na sio kweli kwamba havitumiki kabisa lakini kuna namna ya kuvifanya vitumike asante!!
 
1, Kama ulisoma secondari anzia NECTA wataconvert matokeo yako in Tz education system with its grades.
2, Kama ni chuo utaenda TCU watakupa equivalency ya GPA zako in respect to TZ education system but word university has been derived from word universe/global so most of education system in university are similar.
Kama umesoma kote nenda kote yani TCU & NECTA.
 
Hivi mfano mtu ukasoma Uganda hivi akitaka kufanya kazi Tanzania ya hili course wataangalia GPA zake au wataangalia nini?? Kwa maana kuna mtu ameniambia ukisomea nchi kama uganda eti unakuwa haufahamiki yaani cheti chako hakitambuliki hapa nchi labla uombe kazi huko huko uganda???

Kwa siku hizi ukisoma nje, moja hakikisha chuo ulichosomea au unachokwenda kusoma kwanza kinatambulika huko huko kwao. Pili jiridhishe wewe mwenyewe uwe na vigezo ambavyo hata hapa nyumbani vingekuruhusu kusoma hayo unayosoma nje (ingawapo hili hunipa tabu sana kulielewa mantiki yake lakini kwa awamu hii laweza kuwa mwiba kwako).

Kingine kuna program za nje ambazo hutolewa hapa Tanzania na vyuo au profession fulani-nazo nimegundua zina utata wake, hata kama hiyo program hutambulika huko ilikotoka (yaani iko accredited) na chuo kinacho itoa hapa nchini kiko accredited na hio asasi ya nje-KAMA HICHO CHUO HAKIKO ACCREDITED HAPA NCHINI BASI VYETI VYAKO HAVITA TAMBULIWA HAPA NCHINI (NECTA, TCU). Inauma lakini ni kweli hivyo tuwe waangalifu, kwani baadhi ya vyuo husika huwezi kufikiria vina hayo matatizo na program hizo ni za mkwanja mrefu.
 
Wasilisha cheti chako TCU, watathibitisha elimu hiyo na "document" watakayokupa itatumika sambamba na cheti chako cha chuo kuombea ajira, hiyo ni kiserikali-serikali, kwa upande wa N.G.O'S na Private sectors nadhani wanaangalia vitu vingine zaidi!
Sasa mfano umesoma kuanzi 4m 1 hadi 6 Tanzania ila kwa sababu elimu ya Tanzania ndio kama unavyoiona ukaenda chuo cha serikali cha nuganda mfano makerere kuna haja ya kupitia TCU tena???
 
Sasa kwa mfano uganda kama unataka usome MD unatakiwa uwe na DDS hiyo ndio minimum requirement's ila Tz kama unavyojua ni CCD kwa lugha fupi uganda hata mtu mwenye 3 anasoma MD sasa akisha maliza na akawana GPA nzuri tu tena chuo kinacho tampurika mfano MBARARA AU MAKERERE ina maana huyu kwa TZ atakosa kazi ingawa GPA yake ni nzuri???
 
Sasa mfano umesoma kuanzi 4m 1 hadi 6 Tanzania ila kwa sababu elimu ya Tanzania ndio kama unavyoiona ukaenda chuo cha serikali cha nuganda mfano makerere kuna haja ya kupitia TCU tena???
Ndio mkuu, hata ukisoma Ulaya ni lazima kupitia TCU.
 
Sasa mfano umesoma kuanzi 4m 1 hadi 6 Tanzania ila kwa sababu elimu ya Tanzania ndio kama unavyoiona ukaenda chuo cha serikali cha nuganda mfano makerere kuna haja ya kupitia TCU tena???
vyeti vya chuo vinapewa uhalali (simaanishi kwamba sio halali, ila ili vitambuliwe katika utaratibu wa kielimu wa Tanzania) na TCU, vya elimu ya Sekondari na Primary mamalaka husika ni NECTA. Kila la heri!
 
Sasa ww hapo kidogo nimekuulewa jinsi nilivykuelewa me hapa mkuu ni kwamba ukisha maliza kusoma natakiwa ni rudi tena TCU wao ndio wanatakiwa wafanye equalling grade za Uganda na hapa nchi au siyo hivyo mkuu??? Yaani ni sawa tu na mtu ambaye akitaka kusoma uganda lazima atume vyeti vyake kwanza UNEC ili wafanye equaling grade na kule au nimekosea jinsi nilivyokuelewa mkuu
 
Exactly!
 
Kwrl ndugu ila humu kunawatu wanajua kukatisha moto wenzao ngoja wafike hapa mbona na chuo chenyewe unaacha siku hiyo hiyo
Watu ukiwasikiliza utapata tabu sana, waache waseme, kazi yetu inakua ni kuchuja yale yanayostahili, mengine ni kuyaacha kama yalivyo!
 
Walichojibu wadau kiko sahihi kabla ya kuomba kukiunga nje lazima ujiridhishe hizo sifa zako unazojiungia huko nje kwa kozi husika kama hiyo kozi kwa Tz unafit pia siyo huku uambiwe kujiunga. form 5 lazima uwe na C 3 hlf wewe ugundue kuwa kujiunga labda Zimbabwe form 5 ni D 3 tu hlf ukasome huko ukimaliza form 6 yako kwa hapa TZ haitakubarika.

Maana sifa ulizojiungia kwa Tz ni batili.
 
Kwani kunaulazima wa kufanya kaz tanzania kwa maana ni mizingue tupu yaaani kuanzi huyu mzee baba ashike mpini kila sihemu ni shida tupu. Kwani ukisomea zibabwe then ukafanyie kazi huko huko mzee baba nayeye ana husika hadi hukoo??? Kwa maaana kuna mfano global education links unaweza ukawa na DE harafu wakakutagutia chuo nje ya nchi na ukapata tena kizur tu kuliko hata vya hapa nchini
 
Back
Top Bottom