Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Hivi mfano mtu ukasoma Uganda hivi akitaka kufanya kazi Tanzania ya hili course wataangalia GPA zake au wataangalia nini?? Kwa maana kuna mtu ameniambia ukisomea nchi kama uganda eti unakuwa haufahamiki yaani cheti chako hakitambuliki hapa nchi labla uombe kazi huko huko uganda???