Msaada kwa anayejua mambo haya ya course za chuo

UDSM Japo bado mbali kufika huko....ila tukifika huko nataka I we hivo
Wew ni moja ya mhitimu wa form six wakipekee humu jamiiforum
Unajua wapi unaelekea na nin unahitaji unahitaji vtu vichache tu ambavyo mtu wa level yako ya elimu kuuliza ina make sense

Wahitimu wengine wa form six waige mfano wako,unakuta mtu anaanzisha thread "course flan ipoje? ?inalipa?je kama nimesoma combie hii naweza kuisoma?
Maswali ambayo anatakiwa aulize mtoto wa form two
 
Vizuri kuwa na malengo matokeo ni kitu kingine, kwa ushauri wangu ikitokea umekidhi cut-off points za udsm bsi vizuri lkn ukiwa una sifa za chuo kingine bsi huna budi kuomba hko pia, nilivyokuelewa unapenda kusomea Economics ili uje kuwa mwalimu wa economics na hpo baadae uje usome M. A Economics. mimi nadhani hakuna kisichowezekana ktk hilo cha muhimu ufaulu vizuri kozi za uchumi unaweza omba BA(Ed) lkni hpo lazima uwe na masomo mawili ya kufundishia labda Economics na Commerce au Economics na Accounts hyo au BEd Economics hpo kwa vyuo vingi unasoma kozi nyingi za ualimu na chache za Economics halafu baadae uje usome Master's degree of science in Economics au Master's degree of arts in Economics.
 
asante fungi for appreciation
 
acha uvivu
Tafuta TCU guide book na Prospectus ya vyuo vinavyotoa hiyo course
Utapata mengi zaid ya utakayoambiwa hapa
Mi ndo nashangaa ,eti hawa ndo wasomi tunaowategemea ,kama ameweza kulog in Jamii Forum sijui anashindwa nini kuingia TCU. UVIVU kitu kibaya sana.
 
Vizuri kuwa na malengo matokeo ni kitu kingine, kwa ushauri wangu ikitokea umekidhi cut-off points za udsm bsi vizuri lkn ukiwa una sifa za chuo kingine bsi huna budi kuomba hko pia, nilivyokuelewa unapenda kusomea Economics ili uje kuwa mwalimu wa economics na hpo baadae uje usome M. A Economics. mimi nadhani hakuna kisichowezekana ktk hilo cha muhimu ufaulu vizuri kozi za uchumi unaweza omba BA(Ed) lkni hpo lazima uwe na masomo mawili ya kufundishia labda Economics na Commerce au Economics na Accounts hyo au BEd Economics hpo kwa vyuo vingi unasoma kozi nyingi za ualimu na chache za Economics halafu baadae uje usome Master's degree of science in Economics au Master's degree of arts in Economics.
Vizuri kuwa na malengo matokeo ni kitu kingine, kwa ushauri wangu ikitokea umekidhi cut-off points za udsm bsi vizuri lkn ukiwa una sifa za chuo kingine bsi huna budi kuomba hko pia, nilivyokuelewa unapenda kusomea Economics ili uje kuwa mwalimu wa economics na hpo baadae uje usome M. A Economics. mimi nadhani hakuna kisichowezekana ktk hilo cha muhimu ufaulu vizuri kozi za uchumi unaweza omba BA(Ed) lkni hpo lazima uwe na masomo mawili ya kufundishia labda Economics na Commerce au Economics na Accounts hyo au BEd Economics hpo kwa vyuo vingi unasoma kozi nyingi za ualimu na chache za Economics halafu baadae uje usome Master's degree of science in Economics au Master's degree of arts in Economics.
sawa sawa ndo hivo ndugu....sema wasiwasi wangu unakuta BAEd inachukua two combination subject econ&hist. econ&geog
ambavyo mm najikuta Nina economics tu
 
Mi ndo nashangaa ,eti hawa ndo wasomi tunaowategemea ,kama ameweza kulog in Jamii Forum sijui anashindwa nini kuingia TCU. UVIVU kitu kibaya sana.
sio hivo kule kote nimeshacheck ila sikuelewa kwa sababu kule ata kwenye TCU guide book hawaoneshi unit courses utakazosoma wanataja faculty na iko wapi basi...kwenye prospectus nako sijabahatika kuona
 
Sasa cha kukushauri, subiri matokeo yatoke,then uapply unachotaka kukisoma according na ufaulu wako.
 
Unaweza soma economics na commerce ( udsm) omba mungu wako uwe na 1 au 2 ya kwanza
hivo ndivyo tunavyoomba....sasa hapo UDSM hiyo faculty ntajaza BAEd..au?mbona niliona hiyo combination ya com&econ IPO MUCE UDSM haipo
 
Sasa cha kukushauri, subiri matokeo yatoke,then uapply unachotaka kukisoma according na ufaulu wako.
sawa sawa asante john ila ni vizuri nijue mapema ili siku matokeo yakitoka vizuri....nisibabaike naenda kusoma nn
ASANTE!!
 
Ndio maana nasema itabidi wewe ufuatilie-tafuta contact zao na wapigie. Kwa sababu kuna wachache wa ECA-I suspect watakuchukua lakini ni vizuri kucheck nao kwani wanakupa nafasi 5 tu za uchaguzi. Kama uko karibu basi watembelee UDSM main campus. Inawezekana wameandika lakini hawajafikiria yote yanayoweza kutokea. Usikate tamaa.
Asante sana ndugu kwa msaada wako ntafanya hivo ...ubarikiwe
 
Jaribu kupitia basi na vyuo vingine ambavyo vitakuwa na Economics na somo mojawapo ya hayo mawili au la sivyo uangalie Bed Economics kwa Udsm imekaa vipi lkn sasa hvi kwenye market Bed wanaanza kuwa na soko dogo kwani utakuwa na somo la kufundishia tofauti naBA(ed) auBsc(ed)
 
Faculty course, program Vijana mnachanganya mambo. Ulizeni tofauti zao kabla ya kuandika.
 
Angalia hii kama hesabu zinakubali itakuwezesha kwenda kuchukua MA ya economics bila wasi wasi. Mzumbe University Prospectus 2015-2016. Structure ya Program iko page 121 inaonekana imekaa vizuri. www.mzumbe.ac.tz
"11.2.4 Bachelor of Education in Economics and Mathematics (BEEM)

Direct Entry Qualification

At least two (2) principal level passes and one subsidiary in the Advanced Certificate of Secondary Education (ACSE). One of the two principal passes must either be from Mathematics or economics.

OR

A subsidiary in Basic Applied Mathematics or Economics with any two principal passes. Where the subjects passed do not include Mathematics or Economics and applicant must have obtained a credit pass in Basic Mathematics in the Ordinary Certificate of Secondary Education („O‟ Level).

Equivalent Entry

An applicant must be holder of Diploma in Education with an average of “B” and above from a registered higher learning institution/teachers‟ training college."
 
Back
Top Bottom