Msaada kwa anayeifahamu Zanzuli Secondary

jblus

Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
22
Reaction score
57
Habari wana JF
Kuna mdogo wangu anaingia kidato cha Tano, kapangiwa shule inaitwa ZANZULI SECONDARY ipo SHINYANGA.
Cha ajabu ni kwamba Joining instruction form ya shule hii haipatikani kabisa kwenye tovuti ya tamisemi. Na hata nikiingia google siipati kabisa, nakutana na shule inaitwa ZUNZULI ambayo ni OLevel (badala ya ZANZULI).
Naomba msaada kwa mtu anaeifaham shule hii kujua ipo shinyanga wilaya gani na mawasiliano kama anayo.
Shukrani
 
Kwenye hiyo post za shule pale click kweny jina la shule aliyo pangiwa utapata
 
Labda ni shule mpya wanaenda kuizindua wao
 
Kwenye hiyo post za shule pale click kweny jina la shule aliyo pangiwa utapata
mkuu ukiclick kwenye hiyo shule hairespond, tofauti na shule nyingine. Ndio maana nikaja huku kuona kama kuna mtu anaifaham
 
ZUNZULI Ipo Wilaya ya Solwa Shinyanga, ni shule nzuri.. wanafundisha sana
 
Nadhani hujasoma vzr mkuu nilichoandika. Shule aliochaguliwa yeye ni ZANZULI sio ZUNZULI unayoisema ww. Na wameonyesha ipo wilaya ya Shinyanga mjini (Shinyanga DC) sio Solwa
 
mkuu ukiclick kwenye hiyo shule hairespond, tofauti na shule nyingine. Ndio maana nikaja huku kuona kama kuna mtu
Aende tu hvy atakuta kule shule kila kitu. Pia unaweza kuta wamefanya hvy kwa makusudi maybe wauze vifaa vyote hapo shule
 
Nadhani hujasoma vzr mkuu nilichoandika. Shule aliochaguliwa yeye ni ZANZULI sio ZUNZULI unayoisema ww. Na wameonyesha ipo wilaya ya Shinyanga mjini (Shinyanga DC) sio Solwa
Shinyanga DC sio Mjini kaka Shinyanga DC nfio Solwa ipo huko huko mkuu, Angekuwa Shinyanga MC ndio hapo Mjini
 
Back
Top Bottom