Msaada kwa anayefahamu au aliye apply Mouritius scholarship

Mkuu nimeona unaaply moja kwa moja kwenye chuo husika, hiyo application form ina vigezo tu. Chuo ambacho muda wa application haujaisha ni cha pili ambacho ni Technology College of Mauritius.
 
Asante ivii hapo baada ya ku apply kwenye chuo husika naqulipia io pesa ya application chuo icho husika watakupa io admission form kwa muda au itachukua muda gani maana deadline yakusubmit TCU ni tarehe30
 
Back
Top Bottom