Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
Natumia cyanogenmod11 ila hyo kitu ya kuweka 3g tu au 2g unaweza ukaiweka ukiingia kwenye hii secret menu *#*#4636#*# unachagua itumie radio gan kama gsm only itakua 2g tu wcdma only itakua 3g ukiweka zile za preffered itachagua yenyewe
nimeshawahama nipo omni, huwa mimi sipendi custom rom napenda touchwiz tu sema simu yangu hawajaipa kitkat ikabidi tu nihame.
jaribu omni ni kama cyanogen imetengenezwa na kina chainfire, inapata updates za mara kwa mara pia ni stable though kuna crash moja moja.