Wasiliana na mitandao ya simu wakuunge kwenye bulk msgWakuu kwema?
Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote.
Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya huduma nnazotoa.
Asante, nasubiri mchango wenu
Kuna huduma inaitwa Bulk sms, naona tigo /Yas wanatoa hiyo huduma.Wakuu kwema?
Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote.
Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya huduma nnazotoa.
Asante, nasubiri mchango wenu
Unataka kuomba mishe? 🤣unauza nini?
Inaitwa Location based SMS Services. Ni ghali kiasi na ina mikikimikiki mingi- ila ipo hapa Tanzania kwa makampuni yote ya simuWakuu kwema?
Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote.
Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya huduma nnazotoa.
Asante, nasubiri mchango wenu
Kwa huduma ya bulk sms nicheki Whatsapp: 0747642122Wakuu kwema?
Nilikua naomba mwenye kujua njia ya kuwatumia wateja wanao nizunguka sms hata bila ya kuwa na namba zao wote.
Yani wateja walio karibu na biashara yangu tu ndio wapate meseji ya huduma nnazotoa.
Asante, nasubiri mchango wenu
Tupe utaratibuAsante! Nimeshapata utaratibu wa kuufata kupitia voda
Ukinufaika humu ndani ni Vizuri uifafanue ili wengine nao wasiulize tena. Ndo faida ya Jamii forumsAsante! Nimeshapata utaratibu wa kuufata kupitia voda