Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 680 Reaction score 200 May 27, 2017 #1 habari zenu wadau,ninaomba msaada mwenye kuzijua links za kuangalia mechi za mpira kwa kutumia mx player aniwekee hapa.
habari zenu wadau,ninaomba msaada mwenye kuzijua links za kuangalia mechi za mpira kwa kutumia mx player aniwekee hapa.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,357 May 27, 2017 #2 inabidi utafute link manual internet au playlist kisha unaicopy na kuja kuipaste kwenye mx player yako upande wa network stream, kwa kutest jaribu hata link ya azam tv
inabidi utafute link manual internet au playlist kisha unaicopy na kuja kuipaste kwenye mx player yako upande wa network stream, kwa kutest jaribu hata link ya azam tv
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,285 Reaction score 72,506 May 27, 2017 #3 Tafuta pia app ya Mobdro iko vizuri