cuchi
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 218
- 74
habar wana jf. Mi binti mwenye miaka 21 ila nina uzito wa kilo 92 nimejaribu njia kadhaa wa kadhaa ili kupunguza huu mwili,ila matokeo yake nimeishia kupata ulcers. Kuna kanishauri nitumie laxatives kama dulcolax ili nipungue, ila sijawah kusikia kitu ka hii, so naomben wataalamu mnisaidie coz siupendi huu mwili, je nikitumia dulcolax nikweli nitapungua?