Msaada: Kutuma maombi HESLB

Gutapaka

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
283
218
Habari,

Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi?

Asante.
 
Naomba nikuulize bila shaaka changamoto yangu uko na majibu nayo,namuombea dogo langu ila nishasahau jinsi ya kuilipia 30k,nafaham pakuiweka control #,vip kuhusu kampuni unatumia ile 800500 ya heslb ama malipo ya serikali?!
 
Ukiwa unasajili mnufaika MPYA ukimaliza HESLB itakupa Control Number kisha lipa kwa kisha malipo ya serikali...kisha namba ya malipo hapo bandika control number
 
Habari,

Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi?

Asante.
Tatizo lako ni Kama langu pia Kama ukifaniki

9A8E8A12-D850-471C-9F0C-458E10FCBA43.jpeg

Asante.
tatizo lako ni Kama langu tafadhali ukifanikiwa naomba msaada pia nifanyeje
 
Heslb mfumo ni shida kweli,hata control number kupata ni tabu kweli,Kipengele cha Guarantor inasumbua pia kutuma taarifa.
 
Tatizo lako ni Kama langu pia Kama ukifaniki

tatizo lako ni Kama langu tafadhali ukifanikiwa naomba msaada pia nifanyeje
Wewe umepata birth verification number kutoka mtandao wa Rita? Maana hilo nalo ni tatizo.
 
Back
Top Bottom