Ukiwa unasajili mnufaika MPYA ukimaliza HESLB itakupa Control Number kisha lipa kwa kisha malipo ya serikali...kisha namba ya malipo hapo bandika control numberNaomba nikuulize bila shaaka changamoto yangu uko na majibu nayo,namuombea dogo langu ila nishasahau jinsi ya kuilipia 30k,nafaham pakuiweka control #,vip kuhusu kampuni unatumia ile 800500 ya heslb ama malipo ya serikali?!
SawaUkiwa unasajili mnufaika MPYA ukimaliza HESLB itakupa Control Number kisha lipa kwa kisha malipo ya serikali...kisha namba ya malipo hapo bandika control number
Tatizo lako ni Kama langu pia Kama ukifanikiHabari,
Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi?
Asante.
tatizo lako ni Kama langu tafadhali ukifanikiwa naomba msaada pia nifanyejeHabari,
Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi?
Asante.
Ndio nimepata ndugu sasa sijui shida nini maana siku ya Sita Leo bado iko loading..... kwenye kipengele cha guarantorWewe umepata birth verification number kutoka mtandao wa Rita? Maana hilo nalo ni tatizo