BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,616
- 2,983
Nondo zilikuwa za unene ganiHabari za leo wanajamvi?
Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch.
Wezi wamefungua lock za alminium window na kupindisha nondo kisha wakazama ndani na kufanya yao.
Kiukweli hii hali inaumiza sana.
Naombeni ushauri wa security gani ya kuweka kuwazuia hawa watu.
Mkuu (1) huo waya unakatwa na unakatika hiko cha kwanza (2)kuna waya wa earth huo ukiugusa haukuog short hata kidgo sjui kama unafahamu hilo (3) umeme unaotoka hapo unafahamu kwamba ni wa kwenye betry ..? Na hyo waya haina uwezo wa ouchoma kama ulivyodanganywa mkuuUle waya haukatwi maana ukiugusa vibaya tu Alarm inapiga na Alarm ni king'ora km gari ya Ambulance, pia waya unapiga shot kubwa yaan umeme wake ni mkubwa kiasi Cha kuua na kuchoma usicheze na zile waya mkuu we zione vile vile tu
Kingne mkuu makampuni makubwa haya ambao wankuaga kabsa na walinzi mfno gs sjui kk security nk ufundi wao ni wa kuunga unga amini hlo mkuu hawana maarifa hayo wachache sana na wengi huwa wanafanya kazi kimazoea tu haiwezekani waje wakate wire halafu alarm isipge ujue hapo fundi hajafanya ka,i yake ipasavyo mkuu au hajui akichofanya trust my words bossMzee kwangu sijaweka kitu fake hata kimoja. Hata hiyo gari waliiba kwa sababu ya gharama yake. Vitu vyote vilifanywa na kampuni kubwa na nililipiwa na ofisi kama sehemu ya usalama wangu.
Kesi ilifika mpk kwa viongozi wote wa juu wa usalama na pia iliundwa timu ya upelelezi ambayo ilipewa mpk ofisi ya muda pale polisi Oysterbay kituo kipya
Mi walishawahi kuingia,lakini ile wanamalizia kuvunja flat bars nikashtuka,waking wakaingia kabisa ndani,wakawa wanahangaika kuichomoa TV nikasikia nikabonyeza alarm ya gari ikapiga kelele,wakakimbia,from there nikanunua sensa nikaweka kwenye aluminum zote wakija wakigusa tu zinamwaga keleleHabari za leo wanajamvi?
Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch.
Wezi wamefungua lock za alminium window na kupindisha nondo kisha wakazama ndani na kufanya yao.
Kiukweli hii hali inaumiza sana.
Naombeni ushauri wa security gani ya kuweka kuwazuia hawa watu.
Nimekupata, kumbe simenti n balaaUkimkamata mmoja, ni kumnywesha cement nusu kijiko kidogo cha chai, unamuacha aende zake, pumbavu!
Pole sana mkuu, ni gari ya kijapan au ya kizungu? Nimeanza kuogopa kuchukua gari ya gharamaMzee kwangu sijaweka kitu fake hata kimoja. Hata hiyo gari waliiba kwa sababu ya gharama yake. Vitu vyote vilifanywa na kampuni kubwa na nililipiwa na ofisi kama sehemu ya usalama wangu.
Kesi ilifika mpk kwa viongozi wote wa juu wa usalama na pia iliundwa timu ya upelelezi ambayo ilipewa mpk ofisi ya muda pale polisi Oysterbay kituo kipya
mkuu mwz huwa hajafbu kwa kufanya hvo hutumia waya kama ambazo ww ulivyokabidhiwa fence na fundi akikutestia na ndvo hvhv wez hutumia njia hyhy kutest kama iko on au off na kumbuka fundi ndio anaefanya hyo wiring kwaiy kuna mfumo anaufanya kama fund wako amekarr atafanya wiring inayojulikana na wengi ambayo hata mm nkimuelekeza kibaka ataelewa tuZile waya zinachezewa vizuri tu na wezi wanapita usibishe mkuu, siku hizi dunia ni km Kijiji tu hakuna kinachoshindikana km huna ujuzi usiguse zile waya, wezi hujaribu km zina Moto au hazina moto kwa kumpandisha nyoka km nyoka akiungua wezi hawagusi zile waya
Kuna wakati inabidi utumie njia za kiafrika japo mtu anakufa kikatili sana lakini inakuwa fundishoHabari za leo wanajamvi?
Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch.
Wezi wamefungua lock za alminium window na kupindisha nondo kisha wakazama ndani na kufanya yao.
Kiukweli hii hali inaumiza sana.
Naombeni ushauri wa security gani ya kuweka kuwazuia hawa watu.
Kama ni smart TV zina IMEI No same kama simu! Mwanga wa hili tukio kama bado ajatupa Box lake acheck ataipata na ataenda Police Cyber atakuja ipataWezi wa sasa si wajinga wana gps detectors
Pole sana ndugu..ingawa hao waliokuja kwako ni MAJAMBAZI....hao wanaweza wakaja na mashine na unawasikia na wanajua unawasikia na wakaendelea na kilichowaleta...na wewe ukawa huna cha kufanya...CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.
Mbwa wanasaidia sana ingawa nao wanaweza kupigwa sumu dk 5 tu chali. Mie niliibiwa gari nina mbwa, camera, electric fence, ukuta kozi 11, geti la umeme na alarm ila wajinga walifanya yao na mbwa wote wanne walikufa kwa sumu.
Wezi wakipania hawakukosi
Wezi wapo ndani wewe unabonyeza alarm wakimbie?... hapo unatoka nyatu nyatu na panga lako unakwenda kushusha mabega yao, vibaka 2 wapo ndani kwako unachachawa?... umezingua mwamba.Mi walishawahi kuingia,lakini ile wanamalizia kuvunja flat bars nikashtuka,waking wakaingia kabisa ndani,wakawa wanahangaika kuichomoa TV nikasikia nikabonyeza alarm ya gari ikapiga kelele,wakakimbia,from there nikanunua sensa nikaweka kwenye aluminum zote wakija wakigusa tu zinamwaga kelele
Pole aisee ila weziJamaa walipitia getini tukio lilitokea 2018 na walicheza na utaalam wa juu sana kwenye kufungua geti kiasi kwamba ilibidi aliyefunga electric gate akamatwe ingawa pia alionekana hausiki. Ndani ya nyumba kulikuwa na gari nne ila wakatoka na moja waliyoitaka. Walinipigia hesabu zaidi ya miezi miwili kwani kuna siku walishafanya attemp ya kuliiba hilo gari ofisini Posta miezi miwili kabla ya kuja kulichukua home.
Mpaka leo sijalipata hilo gari na nimesha-give up
Pole sana! Baada ya kuiba waliipitishia dirishani hiyo tv ya inch 55?Habari za leo wanajamvi?
Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch.
Wezi wamefungua lock za alminium window na kupindisha nondo kisha wakazama ndani na kufanya yao.
Kiukweli hii hali inaumiza sana.
Naombeni ushauri wa security gani ya kuweka kuwazuia hawa watu.
Mkuu mimi sijawahi kuyaelewa kabisa hayo madirisha ndo maana kwangu niliamua kuweka madirisha yale ya zamani nikaweka na madirisha ya vioo ya kufungua kama mlango wa gari na kwandanj nikaweka ya kufungua vilele ya wavu,then kwenye hizo nondo nikaweka vipande vya nondo nilisha zima so likawa kama muundo wa draft la kuchezea ,faida yake ni ngumu wezi kuvunja ,pili unapata hewa kwenye dirisha zima maana linakuwa wazi, mkuu badirisha madirishaHabari za leo wanajamvi?