Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

Msaada: Kutafuta maisha nje ya Tanzania

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,174
Wakuu.
Natumai mu wazima wa afya.
Niko serious na jambo hili nahitaji kujua kuhusu fursa zilizopo kule nimeamua kutake risk sihitaji ushauri wa kuniambia fursa zipo hapahapa bongo please NIMEAMUA KU TAKE RISK
---------------------------------------
Ninahitaji kwenda Qatar
Nahitaji kujua kuhusu nauli na utaratibu pia gharama ya viza
Nisingependa kuweka mawasiliano hapa kwa yeyote ambaye yupo tayari naomba anisaidie.KWa MAWASILIANO ZAIDI NAOMBA UNIPM
Naamini sitomwangusha.

Ntaleta mrejesho
 
Mkuu kama mm vile tu maana hatujatofautiana kitu..

Mm mwenyewe nataka sana kwenda huko ila sijui nianzaje..
Cc.
Kichuguu Mr Miller @CompenhegenDN Nyani Ngabu
Wakuu.
Natumai mu wazima wa afya.
Niko serious na jambo hili nimeamua kutake risk sihitaji ushauri wa kuniambia nibaki please NIMEAMUA KU TAKE RISK
---------------------------------------
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 20.
Elimu:kidato cha nne
Jinsia:mwanaume
Lugha:swahili na english.
Ninahitaji kwenda kutafuta maisha huko ughaibuni isipokuwa nchi za uarabuni.
kwa sasa sina pesa za kunipeleka huko lakini naahidi endapo kuna msamaria atanigharamia nikifika huko nitasaini hata mkataba wa kufanya kazi yeyote ya halali mpaka nitakaporudisha gharama zake zote na riba endapo atahitaji kisha niendelee kufight kivyangu.
Nisingependa kuweka mawasiliano hapa kwa yeyote ambaye yupo tayari naomba anisaidie.KWa MAWASILIANO ZAIDI NAOMBA UNIPM
Naamini sitomwangusha.

Ntaleta mrejesho

Cc@Nyani ngabu
 
Bro ulaya Sasa hivi kuingia wamefanya ngumu Sana. Ila Kuna njia flan watu wametumia kufika huku. Ni kuingia uturuki halafu unavuka Ugiriki nakuomba hifadhi ya ukimbizi asylum. IlaKati ya watu wabaguz katika historia ya dunia ukiondoa waarabu Ni waturuki, wagiriki, wahispania, wareno Na wabulgaria Na italians.

Kila la heri
 
Nenda kwenye meli uzamie hakikisha unakuwa na mikate ya kutosha meli kutoka hapa mpk Germany itakuchukua two months ukifika German.. utapanda gari mpk mji wa Hamburg ukifika hapa nenda magharibi ya Germany vuka boda mpk nchi ya Luxembourg.. ukiingia hapa ushatoka ki life..... utawavuta wadogo zako na ukoo wako.... ni hayo tu mkuu...
 
Tafuta 65,000 TSHS panda FALCON mpaka HARARE ukifika tafuta gari za JOHANNESBURG ukifika huko basi umeukata kazi zipo nje nje kuanzia kuuza apple na kufanya usafi barabarani
Ongezea nyama mkuu, hizi 65,000TSH ndio bajeti yote? vipi kutoka HARARE kwenda JOHANNESBURG? Halafu hiyo FALCON unaipandia mkoa gani kwa nauli hiyo?
 
Tafuta 65,000 TSHS panda FALCON mpaka HARARE ukifika tafuta gari za JOHANNESBURG ukifika huko basi umeukata kazi zipo nje nje kuanzia kuuza apple na kufanya usafi barabarani
Mkuu ungeongezea nyama kidogo
 
Bro ulaya Sasa hivi kuingia wamefanya ngumu Sana. Ila Kuna njia flan watu wametumia kufika huku. Ni kuingia uturuki halafu unavuka Ugiriki nakuomba hifadhi ya ukimbizi asylum. IlaKati ya watu wabaguz katika historia ya dunia ukiondoa waarabu Ni waturuki, wagiriki, wahispania, wareno Na wabulgaria Na italians.

Kila la heri
Nimekuelewa mno mkuu
 
Nenda kwenye meli uzamie hakikisha unakuwa na mikate ya kutosha meli kutoka hapa mpk Germany itakuchukua two months ukifika German.. utapanda gari mpk mji wa Hamburg ukifika hapa nenda magharibi ya Germany vuka boda mpk nchi ya Luxembourg.. ukiingia hapa ushatoka ki life..... utawavuta wadogo zako na ukoo wako.... ni hayo tu mkuu...
Kuzamia ?? HAPANA
 
Hebu tuambie ww ulivukaje boda labda tutapata cha kujifunza..

Back
Top Bottom