MSAADA: Kusaidiwa namna ya kufanya update katika pc

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
habarini

Nahitaji kusaidiwa namna ya kufanya update katika pc yangu kwani kuna tatizo limetokea kwenye troubleshooting na kufanya mawasiliano ya internet kutokuinstalika vyema na vilevile baadhi ya device zinagoma kuinstolika nifanyeje wadau
nisaidieni nifuate utaratibu upi wa kufanya UPDATE YA WINDOW 7 pls kwa anaefahamu anijuze
 
tatizo gani limetokea kwenye troubleshooting ! Unaweza kuweka na massage yenyewe ?

Na pia Device gani zinazogoma kuwa installed ?
 
inaonesha os error kwenye system

yaani inasema niupdate window7 yangu kwa upya

device zinazogoma ni scanner, modem ya zantel zinagoma kuinstolika
tatizo gani limetokea kwenye troubleshooting ! Unaweza kuweka na massage yenyewe ?

Na pia Device gani zinazogoma kuwa installed ?
 
habarini

Nahitaji kusaidiwa namna ya kufanya update katika pc yangu kwani kuna tatizo limetokea kwenye troubleshooting na kufanya mawasiliano ya internet kutokuinstalika vyema na vilevile baadhi ya device zinagoma kuinstolika nifanyeje wadau
nisaidieni nifuate utaratibu upi wa kufanya UPDATE YA WINDOW 7 pls kwa anaefahamu anijuze

Ndugu, hapo driver hazikuwa installed baada ya Windows 7 installation. Kama unakaujuzi kidogo. Unaweza tuma model ya pc yako tuweze kukupostia website ya kuzidownload. Vilevile kama una ndugu au rafiki mwenye ujuzi kidogo unaweza kumwomba akutafutie driverpack solution. Kwani scanner yako ni brand gani?
 
  • Hii hapa. Hapo VUZE au TIXATI zinahusika kufanikisha zoezi.
 
Attachments

Back
Top Bottom