Msaada kurestore contacts kwenye android

Msaada kurestore contacts kwenye android

mwanajamii1

Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
15
Reaction score
7
Wanajamvi, niliireset simu yangu android v 2.2.1 na kupoteza data nyingi contacts zikiwemo.
kwa bahati nzuri nilikuwa na back-up file kwenye format ya BAK na SPB lakini nimeshinda kurestore kwenye cmu, yoyote mwenye mwanga tafadhali.....:help:
 
Back
Top Bottom