Msaada: Kupata HESLB Loan Statement

Mdau jf

Senior Member
Sep 10, 2020
182
312
Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa.

Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie

NATANGULIZA SHUKURANI
 
Duh.. em ingia kwa Website yao joo..

Nimesahau tangu nimalizane nao.. i used to login...
 
Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa.

Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie

NATANGULIZA SHUKURANI
Ulipata au Bado?
 
Duh.. em ingia kwa Website yao joo..

Nimesahau tangu nimalizane nao.. i used to login...
Website yao wameibadilisha hivi karibuni, Hii mpya ina changamoto sana hakuna sehemu utaweza kupata loan statement kama ilivyokuwa zamani.

Kama kuna yeyote ambaye amefanikiwa kupata loan statement kupitia hii website mpya, msaada please!
 
Duh.. em ingia kwa Website yao joo..

Nimesahau tangu nimalizane nao.. i used to login...
Mkuu huvi inawezekana kuwalipa deni lao at once au kwa awamu chache.
Eg nimepata kibunda toka kwa kanji nikaamuakulipa hata nusu
 
Back
Top Bottom