Msaada kuonganisha simu (Tecno c 9) na tv tafadhali

ni cable za kuunganisha tv na simu ili utumie simu kama deki kila kinachoonekana kwenye simu unakiona kwenye tv ipo kama hivi
mavEPjj1_FDflhWglv-CZaw.jpg
Kinauzwa bei gan hiki mkuu na je ni kwa flat yoyote au inachagua
 
Mimi natumia note 3 yenyewe inayo miracast kwa vile tv yangu haina hii kitu nikaona ninunue kifaa kinaitwa mirascreen.niliagiza online ebay.
20170118_145600.jpg
hii ndiyo mirascreen.
20170118_145433.jpg
hapa nishachomeka kwa tv yangu nikisubiri simu itafute.
Screenshot_2017-01-18-14-58-44.png
hapa simu ikifanya mawasiliano na tv yangu(connecting)
IMG-20170118-WA0063.jpg
tayari ishajiconnect na nipo nataka kucheza gemu .
IMG-20170118-WA0064.jpg
 
Mimi natumia note 3 yenyewe inayo miracast kwa vile tv yangu haina hii kitu nikaona ninunue kifaa kinaitwa mirascreen.niliagiza online ebay.View attachment 461250 hii ndiyo mirascreen.View attachment 461251 hapa nishachomeka kwa tv yangu nikisubiri simu itafute.View attachment 461252hapa simu ikifanya mawasiliano na tv yangu(connecting)View attachment 461253tayari ishajiconnect na nipo nataka kucheza gemu .View attachment 461254
Gharama yake mkuu ngapi? Thanks!
 
i
Kwenye cm yako
Nenda settn^^
Disply^^
Mirrow cast
Upande wa cm unakuwa umemaliza unaenda kwenye tv
Manu^^
Network^^
Pair dvses^^
Uttaona jina la cm yako. Kwenye cm yako itataka ukubali kupair na tv. Then unatiririka kwa chochote unachofanya kwenye cm tv inadislay bila cable wala nn"
Umenifurahisha sna eti cm ndo deki! Tehe teh...cm ni smart na kama tv ni smart huna haja ya mawaya.
Na unaweza washa hotsport kwenye cm yako ukaendelea kustrimika kwenye tv, remote ndo mause! (Kipanya)
nimejaribu yangu imeletamira vission
by the way leonimejifunda yjambo jf super sana aisee


by the way ni tv zote maana tv na cm zangu zote ni za kichina:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek:
 
i

nimejaribu yangu imeletamira vission
by the way leonimejifunda yjambo jf super sana aisee


by the way ni tv zote maana tv na cm zangu zote ni za kichina:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek:
Hata tv ikiwa ya kichina ili mradi liwepo tundu la hdmi na usb port cha muhimu simu yako tu ndio ina huo uwezo wa kusoma
 
Kwanza screen yako inabidi iwe smart kwa maana ina option za miracast or screen share simu yako nayo iwe na NFC au screen mirroring hapo uta connect wirelessly km sio hivyo simu yako iwe na option ya MHL hapo utatumia MHL cable to HDMI simu km samsung s5 ina HDMI to tv nyingine km note 4 ina option ya HDMI moja so unahitaji cable km hii
22970009d8889f1ad88121ec3eae35e8.jpg
What about S7 mkuu
 
Back
Top Bottom