Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,868
Uvivu Tu WA kulima kijana wangu
Namna hii.Ndio narudi boss nilitoka mara moja!!!
Always thanks brother!
Kasema hivo.Tumsamehe bure mkuu labda kaondoka online
Vumilia tu my sukari, si unajua tena ubinadamu ni kazi.Niko poa.
Nimekasirika sana hapa.
Usiku mwema.
Nimekupata...we are the family. Kwanzia kwenye maarifa mpaka kugombana 🤣😅🤣😂Namna hii.
Ila nisamehe sana boss wangu kwa kukutamkia vile.
Huwa mie napenda sana amani.
Pamoja sana.
Ukipata changamoto nyingine usisite kutuita.
Au mtu akikukorofisha jukwaa lolote lile niite ili nimpe Ban.
Thanks 😊 🫶🫶🫶🫰
Pamoja mkuu.Nimekupata...we are the family. Kwanzia kwenye maarifa mpaka kugombana 🤣😅🤣😂
Huu ndio ulikuwa wenyewe haswaaaaa.