Msaada Kuna uzi nautafuta

Msaada Kuna uzi nautafuta

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,558
Reaction score
2,717
Habari, ahsante kwa kufungua uzi huu. Kuna uzi nautafuta niliusoma mwaka jana mwishoni, simkumbuki muandishi wala kichwa cha Habari.

Uzi ulikuwa unahusu mishe ya jamaa fulani kupokea wageni kutoka nje (foreigners), kuwapeleka kwenye hotel fulani sambamba na kuplay kama mwenyeji wao kisha yeye kupata faida aidha kwa kulipwa commission na hotel au wageni wenyewe baada ya kazi hiyo. Ikiwa unaufahamu uzi huu tafadhali weka link au nisaidie kichwa cha habari.

Kwa heshima natanguliza shukrani!
 
Umetisha Sana mkuu
 
Mi nautafuta Uzi mmoja wa mwaka Jana ambao inahusu jamaa mmoja aliyeenda kwenye search history ya simu ya mzee mmoja akakuta Mzee yule ame-search porn videos za vilema pamoja na videos za binadamu akikulana na mbuzi.

Mwenye msaada plizzz anisaidie ili nivunje mbavu kidogo.
 
Utalaaniwa! 😆
 
Unataka uwafanyeje mbuzi?
 
Powell Gonzalez ,uzi umeletewa.
Tena link mbili tofauti na Shadow7
hata kumwambia asante umeshindwa?
Tena kaka wa watu kauleta dakika ya 10 tu baada ya wewe kuuomba.

Au ndio tenda wema uende zako?
mnakera sana mjue.
Mtu kausakaranya huko majukwaa yote na kakuletea ila hata kutoa like au asante umeshindwa.
Uwe na moyo wa shukrani.

Ningekuwa mimi ni Shadow7 ningedelete kabisa post yangu.

secretarybird za usiku huu?
Swalama, za kwako My sugar.
 
Ndio narudi boss nilitoka mara moja!!!
Always thanks brother!
 
Back
Top Bottom