Wewe! Mmachinga anasaga lami kila siku anatafuta jero halafu arudishe 700000 kiboyaboya tuu? Kwanza hakuna ushahidi kama hiyo laki 7 siyo mliyokubaliana. Hata ukimpata akasema ndiyo hela mlikubaliana kuna mahali mliandikiana 70000?Kuna jamaa yangu kamtumia Mtu 700,000 badala ya 70,000. Jamaa alifanya naye biashara ni chinga. Tunduma. Sasa jamaa amegundua siku 2 baadae. Akamcheck chinga akagoma, wakakubaliana waonane amuonyeshe Muamala. Akazima simu.
So, anawezaje mtrace? Maana hata namba amesajilia ya mtu mwingine.
Mwambie ajiunge Jf kila siku watu wanaolizwa ni jamaa yanguKuna jamaa yangu kamtumia Mtu 700,000 badala ya 70,000. Jamaa alifanya naye biashara ni chinga. Tunduma. Sasa jamaa amegundua siku 2 baadae. Akamcheck chinga akagoma, wakakubaliana waonane amuonyeshe Muamala. Akazima simu.
So, anawezaje mtrace? Maana hata namba amesajilia ya mtu mwingine.
Ebu subiri kwanza mboni km unakimbizwa kufanya nae biashara vipi na asiangalie muamala? Hapo juu umekoroga mwandiko weka sawaJamaa alifanya naye biashara ni chinga. Tunduma.
Cybercrime ya hapa hapa hapa Tanzania?? Kama ni ya hapa Tanzania basi huo muda wa kupoteza kuonana na hao jamaa aweke nguvu kufanya kazi kulipishia hiyo hasara.nenda cybercrime unit, watakusaidia. laki sita na selasini elfu ni nyingi
Tatizo siyo alama za vidole..tatizo ni mifumo ya pesa kwenyesimu ilitakiwa kuboreshwa ...mfano pesa ikitumwa kuwe na mifumo miwiliZoezi la usajili wa laini za simu kwa alama za vidole lingerudiwa tu likiwa limeboreshwa na kuziba mianya ya watu kusajiliana ama mawakala kughushi,hili lishabuma!! Hakuna maana yoyote tena.
Lengo la kusajili laini kwa alama za vidole unalijua?Tatizo siyo alama za vidole..tatizo ni mifumo ya pesa kwenyesimu ilitakiwa kuboreshwa ..